Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habarii wanajamvi, Naomba msaada kwa ajili ya binti yetu aliye maliza masomo Mwaka ulio pita anawastani wa history D, geography D, kiswahili D, English D, biology D, civics D, math F Je kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeangalia vyuo vya south Africa ni too expensive nataka Kuomba makerere university Uganda, Bachelor of Information and security system nimecheki mengi kwenye website yao ya chuo ila nahitaji...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba kuuliza safi za mtu aliyemaliza form six na kupata div 3 mwaka 2016 kujiunga na open university inakuwaje??
0 Reactions
3 Replies
712 Views
Please am a Form six liver in this year of 2017, am applying for applications of Advanced diploma programs, that you have introduced since May on your website, but when I fill my Form six details...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba kupata ufafanuzi wa hili kwa wahusika wa mikopo ya elimu PSPF. Ninahitaji mkopo kwa maelezo yao wanakulipia moja kwa moja chuoni ni jambo zuri, wanasema riba ni 7. 5 %kwa mwaka ambayo ni...
0 Reactions
39 Replies
10K Views
Jamani mm naomba kufahamu utaratibu wa kufanya mtihani was PC six kama ulisoma egm na sasa unataka labda kusoma pgm je inawezekana kusajiliwa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada wenu wakuu wengi tunalalamika kua pcm ndio ngumu lakini kwa nini wanaongoza sana hua wanatokea huku pcm
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Baada ya kutoka kwa walaka wa NACTE kwamba wanatakiwa kufanya mtihani wa form 6,juzi kati matokeo yao yalitoka,wengi wamefauru kwa division I na II, je wanaweza kutumia matokeo hayo kujiunga na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam, naomba msaada wa ufafanuzi juu ya hili, nina mtoto yuko shule binafsi , amerudia mara mbili nikamuhamishia shule nyingine lakini nako yuko hali mbaya kwani yuko kidato cha pili ila...
2 Reactions
49 Replies
9K Views
Mbunge wa Geita vijijini, Joseph Kasheku maarufu Musukuma (CCM), ameitaka serikali irudishe kazini watumishi wa darasa la saba iliowafukuza vinginevyo wabunge wenye elimu ya darasa la saba pia...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Jamani naombeni msaada wa topic za physics A-level
0 Reactions
10 Replies
5K Views
wakuu habari, naomba msaada kwa aliye na uzoefu au taarifa sahihi za chuo hiki anisaidie. campus life, ubora na unafuu wa msisha nje au ndani ya chuo. nahitaji kumpeleka mtu kule je tution...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Habari wadau, mimi ni kijana mwenye kipaji cha kuchora, kudizain maneno na kuandika (Painted skills), lkn skuwah kusomea chochote juu ya ivyo, ila kuna baadh ya watu wamenambia nikasomee...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kiswahili Kimekuwa Jifunze kupika Chipsi Mayai hapa
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Salaam, naomba msaada wa ufafanuzi juu ya hili, nina mtoto yuko shule binafsi , amerudia mara mbili nikamuhamishia shule nyingine lakini nako yuko hali mbaya kwani yuko kidato cha pili ila...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Habari wana JF, natamani sana nifungue NGO ya ambayo itajihusisha na kuwaangalia na kuwatetea watoto wenye ulemavu na waishio katika mazingira magumu kwa kuwapa misaada midogo midogo na...
0 Reactions
1 Replies
948 Views
Habarini za jioni wapendwa wanaJF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa wale tuliosoma SINGE HIGH SCHOOL tukutane hapa kubadiliahana mawazo na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Husika na mada tajwa hapo juu *Bei za ada ukitaka kusomea urubani? ✈✈✈✈✈ * je,utoaji wa ajira hauna undugu? * Tanzania kuna chuo bora cha Urubani✈✈? * Je ni lazima kusomea nje ya nchi? *...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Hahaaaaaaaaaa jana ndio nimegundua kweli anayetaka kukunyanyasa anakunyima akili tu, CWT hapa mlipoteza muelekeo. Binafsi ninafahamu shida za walimu wa Tanzania na maswahibu yote katika kazi ya...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu, Naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa kwa baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu tusio wanufaika wa mkopo, hususani wale tunaoendelea kwa mwaka wa 2 na na 3. Inauma sana iweje baadhi ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom