Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nataka kuuliza kwamba kwa waombaji wa mikopo tunaoishi vijijin/maeneo yasiyokuw na huduma za kibenki je kuna namna ya kufanya malipo kwa njia ya simu
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Soma: Viongozi wa Serikali na Wanachuo wa Chuo Kikuu Bugando wafukuzwa Chuo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
- Ubadhirifu wa fedha za wanafunzi masikini unaokadiriwa kuwa Zaidi ya billion 2. - Wanafunzi hulipishwa Tsh 200,000/= ya matibabu ya Bima ya NHIF huku gharama za bima ni Tsh 50,400/= - Ada...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa wale wanaowafahamu vijana wacheza basket, kuna scholarships kwa ajili ya vijana kwenda USA. Umri uwe kuanzia miaka 12-16. Awe na kipaji kweli kwakuwa atahitajika kurekodi video ya dakika moja...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Ivi ningependa kufahamu GPA ya CO kwenda MD ni ile inayopatikana baada ya kufanya Final exam au ni Cumulative GPA ya Mwaka wa mwisho(1st&2nd semester)ama ni Cummulative GPA ya miaka yote...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wandugu samahanini,mimi n mhitimu wa diploma koz ya kilimo sasa mwaka huu nilihitaji kusoma sasa nimeanza kujaza taarifa za awali hizi kujaribu kuomba mkopo nimekutana na inshu ya awards...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
kama tunavyo jua tarehe 6/08/2017 HESLB inafungua mfumo wake kuruhusu wanafunzi kuomba mikopo, na mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 4/09/2017. Huu uzi uwe special kwa matatizo, maswali, dukuduku...
0 Reactions
234 Replies
53K Views
Habari wanajf Baraza la mitihani Tanzania lilitoa tangazo la kutoa vyeti mbadala kwa waliovipoteza. Kwenye tangazo lao wanasema vyeti hutolewa siku 30 baada ya uchunguzi Kufanyika ila cha...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habarini za kazi ndugu wapendwa,,naomba kuuliza ivi kama mtu akihitaji kusoma advanced diploma ya clinical medicine kwa kutumia cheti cha form six anafanyaje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hanari za mida hi wanajukwaa Nilikuwa napenda kujuzwa au kuuliza kuna vyuo gani vya serikal vya diploma in clinical medicine vinavyopatikana mkoa wa Arusha na Kilimanjaro. Naombeni msaada wenu...
0 Reactions
6 Replies
12K Views
The Government of The People’s Republic of China has made scholarship offers to the African Union Commission, through the Department of Human Resources, Science and Technology, to enable African...
5 Reactions
0 Replies
2K Views
Najiuliza vijana wamefanya mtihani wa form4 October mwaka jana, March/April (miezi 5/6 baadae) tumekuwa na uombaji wa kujiunga na masomo chini ya NACTE na Vyuo vikuu Vichache. Selection za F5...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Ebwana mi nimechaguliwa kujiunga na fm 5 PCM OLD MOSHI na nataka mnishauri nibaki ama niende PCB,coz nahofia ajira mbeleni.
0 Reactions
24 Replies
12K Views
Institute of of Procurement and Supply (IPS) kinawatangazia kuwa kimeanza kutoa mafunzo ya Public Private Partnership (PPP) kwa watakaohitaji wasiliana nasi kupitia namba hii 0718476238
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KAFARA ZA BILLY GATES NA UOGA WA KIZAZI CHA MTANDAO. Mnamo mwaka 1974 majira ya joto bara la Amerika ya kasikazini, vijana wawili marafiki wanaona Tangazo la toleo jipya la tarakilishi. Tangazo...
5 Reactions
20 Replies
4K Views
Huenda hata jina nimekosea (japo sina uhakika). Naomba kujulishwa ni kozi gani za afya wanatoa kwa ngazi ya diploma. Nataka nisome Clinical Medicine. Na kama itawezekana naomba nijulishwe vyuo...
0 Reactions
17 Replies
18K Views
Kuanzia mwaka 2015 na kuendelea kuna wimbi kubwa la shule nyingi za Private kufungwa ama kubadilishwa matumizi. Hata zile ambazo bado zipo zina survive lkn zinajikongoja kwa taabu kubwa sana...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani naomba kuuliza jinsi ya kujisomea A level kwa mwanafunzi was michepuo ya sanaa[emoji26] [emoji26] [emoji26]
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Utafiti uliofanywa ni watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Harvard na vyuo vingine vikuu vya Marekani kuna uhusiano wa "kuaminika" kati ya viwango vya juu vya joto na mafanikio ya shuleni. Vipimo vya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
helow! ndugu zangu naomba kujua procedures za kufuata kwa mwanafunzi anayeendelea na masomo pindi anapotaka kutuma maombi ya mkopo,bodi ya mkopo (heslb) afanyaje ili aweze kuambatanisha na...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom