Ebu chagua unayoipenda.Jitahidi ufike ufaulu six,then uje kutuomba ushauri wa kozi.
Note:
zote mbili ajira zipo za kutosha.
Ebwana mi nimechaguliwa kujiunga na fm 5 PCM OLD MOSHI na nataka mnishauri nibaki ama niende PCB,coz nahofia ajira mbeleni.
Anaemaliza Form VI haajiriwi kutokana na alichosoma huko, ila wanaosoma cheti, diploma, shahada na kuendelea ndio huwa wanapata ajira walizosomea kwa kuwa wanakuwa na ujuzi husika.
Hizo combo zote ni za Sayansi, na hazina utofauti mkubwa sana, labda kama unataka kuja kusoma Sayansi za viumbe (udakitari, afisa mifugo, elimu ya viumbe-maji n.k.) itakulazimu uende PCB ili ujiweke pazuri. Na hata kama utaamua kuchukua PCM, alama za kidato cha 4 (C<) zitakubeba endapo somo husika hujalisoma A Level. Bado machaguo ni yako, unaweza kusoma yoyote, na kusiwe na athari kubwa katika masomo ya elimu ya juu.
Sawasawa?
weye angalia mbeleni baada ya form SIX ni nini utapenda kufanya
kama udaktari etc basi nenda PCB, kama mengine haswa engineering etc nenda PCM huu ni mfano nakupa wa weye kufikiria nini utataka soma kama utaendelea na masomo kuingia Level ya mbeleni.
haya kaongee na watu wa mavyuo au kama kuna wanaotoa ushauri walimu wako etc ujue nini unatapenda zaidi mbeleni baada ya A'leve; studies
kozi hizo zina hajira, ni wewe tu utafaulu? au utaweza kupasi interview za kazi? subiri ufike huko mbeleni
Good luck
Ebwana mi nimechaguliwa kujiunga na fm 5 PCM OLD MOSHI na nataka mnishauri nibaki ama niende PCB,coz nahofia ajira mbeleni.
thex for ur advic
inaonekana hujui English. Thex ndo nini? Hizi comb hazihitaji mbwembwe
Soma yoyote suala la ajira baada ya 4m6 halipo.....rudi tena baada ya matokeo ya form six utuombe ushauri tutakuambia ukasome kozi gani yenye mwelekeo wa ajira japo siku hizi ajira nazo sio nyepesi.