Sio siri tena baada ya moja ya inayosadikiwa kuwa document iliyosheheni hoja za mmoja wa wagombea anae dai kuwa ndiye aliyeshinda uchaguzi wa URAIS UDSM Bwana Evarist Matulanya ku leak, kulingana...
Wale waliofukuzwa chuo pale Bugando ambao ni Rais wa chuo na Waziri Mkuu wake; hivi wanalala kweli usiku? Maana wazazi wanavyohangaika kutafuta ada halafu unafukuzwa chuo, labda kama walikuwa ni...
Wanafunzi wa certificate na diploma tanzania yote tukutane hapa, tubadilishane mawili matatu.
Comment wewe unatoka chuo gani,
Mimi naanza; natoka NDANDA SCHOOL OF NURSING-MTWARA CLASS 2020
Kwa anayejua namna yakujisajili ili kupata transcript Nacte maana ukiingia ktk web yao maelezo hayaeleweki na ukituma pesa wanakata na maelezo yao hayaeleweki ,ukiwapigia inachukua wiki nzima...
Elimu yetu ina enda kusiko julikana... ina shangaza watu wamesoma na kuhitimu ina wezekana na ajira wamepata wana hudumu sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi, alafu baadae tuna kuja kufuta kile...
Habari wana jukwaa
Kuna mtu aliniuliza hili swali nikashindwa kumpa jibu
Anataka kwenda kusoma degree ya maendeleo ya jamii na anataka kukaa nje yaani kupanga
Kati ya chuo cha bamaga mwenge na...
Nashindwa kutambua/kuelewa nini chanzo cha TAMISEMI kuchelewesha selection za wanafunzi watakaojiunga kidato cha tano mapema July mwaka huu. Hadi sasa tumebakiwa na siku 21 tu/week 3 mwezi huu...
Habari JF.
Nisehemu gani naweza pata mterials ya advance comb za science kwa dar? Kama vile ma pamphlet ya walimu maarufu na vitabu pia, na unanishauri ninunue pamph za mwalimu gani na vitabu vya...
Imepita takribani miezi 7 tangu firm 4 2017 wamalize mitiani na takribani miezi 5 toka kutangazwa kwa matokeo.
Cha kushangaza mpaka sasa wanafunzi hawajui hatima yao huku shule za binafsi zikiwa...
Ninavyokumbuka ni kuwa kulikuwa na kipengele cha kuandika namba ya akaunti kwenye maombi ya heslb online. Kwa sasa sikioni. Je kwa waliojaza tayari hicho kipengele walikiona na walijaza? Je ni...
Wakuu,
Tujikumbushe enzi nzetu kidogo na tuone nani alikuwa nondo na nani alikuwa kilaza enzi zake akiwa sekondari.
Tupia somo lako pendwa hapa tukudunge swali.
Au weka swali la somo lolote la...
Baraza la Taifa la Elimu na Ufundi ( NACTE ) limevifungia vyuo 20 kutokana na mapungufu mbalimbali.
Kikubwa tuwe makini na vyuo vya uchochoroni maana sasa hivi ni rungu tuu. Orodha kamili ya...
Ningependa kuuliza je mimi ni kijana niliyemaliza kidato cha nne mwaka jana na kufanikiwa kupata division two..Je ninaweza kuapply chuo chochote Tanzania na kuanza kusoma kwa level ya diploma au...
Kwa miaka mingi wengi walizoea kuona wasomi walio wengi wa taaluma wakibaki kufundisha vyuoni hadi kumaliza utumishi wao.
Hata hivyo, miongoni mwao, wachache walikuwa wanapata fursa adhimu za...
Kwanza kabisa niungane na Watanzania wote katika kuomboleza msiba mzito wa wapendwa watoto wetu Maria na Consolata.
Kutokana na jinsi wazazi, Walimu na hasa mapacha walioungana Maria na Consolata...
Habari WanaJF,
Mimi nipo kwenye tasnia ya elimu hasa shule binafsi za International..
Nimeshuhudia watoto wanaanzishwa shule wakiwa na umri wa miaka 3 hadi 4 na anafuatilia kitaaluma hivyo...
Habari zenu.
Naomba mwenye taarifa za lini wanafunzi waliomaliza kidato cha 4 mwaka 2017 watapangiwa shule za serikali kwa ajili ya kuendelea na kidato cha tano anijuze. Au kama tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.