computerkiddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 509
- 544
Habari wanajf
Baraza la mitihani Tanzania lilitoa tangazo la kutoa vyeti mbadala kwa waliovipoteza.
Kwenye tangazo lao wanasema vyeti hutolewa siku 30 baada ya uchunguzi
Kufanyika ila cha kushangaza ni kwamba ukishakamilisha taratibu zote unaambiwa vyeti vinatoka baada ya siku 90 .
Siku tisini zikipita hakuna anayepiga simu wala kutoa taarifa, ukienda ofisini kwao unaambiwa lipia statement of result kama unataka kutuma matokeo yako sehemu.
Hapa ninavyoongea kuna watu wameomba vyeti toka mwezi wa kumi na moja mpaka leo hawajapata vyeti vyao.
Nauliza wahusika wa baraza la mitihani ni nini tatizo? Mmekwama wapi? Thanks in advance.