Vyuo vya clinical medicine kanda ya Kaskazini (Arusha & Kilimanjaro)

runtown

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
816
1,081
Hanari za mida hi wanajukwaa

Nilikuwa napenda kujuzwa au kuuliza kuna vyuo gani vya serikal vya diploma in clinical medicine vinavyopatikana mkoa wa Arusha na Kilimanjaro.

Naombeni msaada wenu wakujuzwa hayo.
 
Hanari za mida hi wana jukwaa


Nilikua napenda kujuzwa au kuuliza kuna vyuo gani vya serekal vya diploma in clinical medicine vinavyopatikana mkoa wa arusha na kilimanjaro.


Naomben msaada wenu wakujuzwa hayo
HURUMA ROMBO, KCMC MOSHI, MACHAME ETC
 
Kwa KILIMANJARO kuna Machame.

ila kwa ada ujipange

kwa Arusha kuna chuo kinaitwa SUYE
Note: hivi sio vya serikali
 
Back
Top Bottom