ilambona
Member
- Oct 28, 2016
- 84
- 16
Wandugu samahanini,mimi n mhitimu wa diploma koz ya kilimo sasa mwaka huu nilihitaji kusoma sasa nimeanza kujaza taarifa za awali hizi kujaribu kuomba mkopo nimekutana na inshu ya awards verification na nimesikia ilianza mwaka jana naomba mwenye uelewa anisaidia maana nasikia itatumika had kwenye kuomba vyuo pia.