Nijuzeni haya kuhusu GPA ya clinical officer kwenda MD

JangoReez

Member
May 20, 2018
23
4
Ivi ningependa kufahamu GPA ya CO kwenda MD ni ile inayopatikana baada ya kufanya Final exam au ni Cumulative GPA ya Mwaka wa mwisho(1st&2nd semester)ama ni Cummulative GPA ya miaka yote mitatu?msaada kwa anayefahamu tafadhali!
 
Ila kwa uelewa wangu kila chuo kina system yake ya GPA kupanga vyengine vinaendana ila vyengine ni tofauti
 
Ivi ningependa kufahamu GPA ya CO kwenda MD ni ile inayopatikana baada ya kufanya Final exam au ni Cumulative GPA ya Mwaka wa mwisho(1st&2nd semester)ama ni Cummulative GPA ya miaka yote mitatu?msaada kwa anayefahamu tafadhali!
Acumulative GPA
 
Back
Top Bottom