Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Msaada wanaJF
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hyy, wanaJF, naomba mniwekee chat ya vipimo vya uzito kutoka kipimo kidogo kwenda kipimo kikubwa.. Vyote kwa pamoja.. Nitashukuru sana.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari za majukumu wakuu kulikuwa na taarifa kuhusiana na mikopo kwa wanafunzi wa diploma katika fani za kilimo, afya na ualimu lakini umepita muda sasa sijasikia chochote kuhusiana na ili suala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu naombeni ushauri kuna swala moja linanitatanisha sana mwaka Jana nilifanya application chuo kikuu SUA kwa bahati mbaya first selection sikuchaguliwa nika apply tena second application...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau, Naomba mwenye kukifahamu vizuri hiki chuo anisaidie coz nahitaji kujiunga ila nahitaji nifahamu vitu vichache kabla ya kujiunga. Kwanza nilikua naomba fahamu Teaching Method yaan lecture...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mnaokifahamu chuo cha social works cha Kinondoni. Naombeni mniambie kama ni kizuri na pia kama kina hostels karibu. Nafwatilia majibu yote wapendwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kujisajili kwa mwanafunzi wa chuo kupata mkopo kwanini pale wanapokosa bodi husika isifanye pia mkakati wa kurudishia watu hela za watu maana ni hela nyingi za watu zinatumika kufanya hicho...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Heshima kwenu wana JF, Kuna baadhi ya waandishi wamebarikiwa na Mola kuandika vizuri lakini pia wamejifunza zaidi kuwa wajuzi na wabobezi wa kuandika tamthiliya, riwaya na ushairi kwa ustadi na...
2 Reactions
37 Replies
8K Views
mawazo yangu kuhusu kutokuwapa mikopo watoto waliosoma shule za kulipia ni makosa makubwa na aliyotoa hilo wazi akufikiria vizuri,kwani kama ni hoja kwamba wanaosoma shule za kulipia ni watoto wa...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Utaratibu wa kujiunga na vyuo vikuu kwa sasa ukoje kupitia TCU au Vyuo? Unaandika barua au online? Na je vyuo vipi vimeshaanzaa usajili ?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za majukumu wakuu...!!? Naomba kufahamiahwa kuhusu kozi inayotolewa pale SUA ya laboratory technology.. inausiana na mambo gani na nyanja zake za kufanya kazi zikoje..?? Kwa wale wenye...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Fikiria mtu anachora mstari kuwa ufaulu ni alama 50 (50%), halafu kunatokea wanafunzi watatu wa kwanza kapata alama 45 (45%) wa pili kapata alama 50 (50%) wa tatu kapata alama 100(100%). Sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu.... naomba kusaidiwa kwamba kwa mfano una herufi A,B,C,D,E na F na unataka kuzipanga katika namna ambayo nherufi zinaweza kujirudia. mfano; AAAAAA, AAAAAB, AAAABB, AAABBB, AABBBB, ABBBBB...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwasasa Chuo cha Taifa cha usafirishaji(NIT) kimepanda hadhi na kuwa CHUO KIKUU, au university na sasa kitaitwa NATIONAL UNIVERSITY OF TRANSPORT(NUT) Hii ni baada ya Wachina kuweka Mzigo wa...
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Mimi nakumbuka nilikuwa mtaalamu sana wa viapo ambavyo havitekelezeki enzi hizo. Nilikuwa na mipango mingi sana napofika chuo nasema semister hii nitasoma sana kuliko kawaida ila mwisho wa siku...
26 Reactions
331 Replies
53K Views
Nchi ya Finland imebuni shule ambayo wanaamini itakuwa shule bora zaidi duniani kimuundo na kuweza kuinua kiwango cha elimu. Shule hiyo imeondoa vizuizi vya kuta kati ya madarasa na wanafunzi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Heshima yenu wadau. Mimi ni mlinzi kipato changu ni laki moja na nusu kwa mwezi. Nina degree ya Management of Social Development na GPA ya 4.0. Baada ya ajira kua ngumu nimewaza kusoma master...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Wakuu naombeni kuulizia je ni chuo gani hapa Tanzania kinatoa diploma ya socialogy au social work kwa e-learning (distance learning). Msaada please.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza pongenzi kwenu kwa majukumu yenu. Ni kwaida sana katika nchi yetu kukuta mwalimu yuko peke yake katika shule husika. Ni ukweli usiofichaka kuwa licha ya uwingi wa vipindi bado mlio wengi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom