UZZIMMA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 410
- 477
Huenda hata jina nimekosea (japo sina uhakika).
Naomba kujulishwa ni kozi gani za afya wanatoa kwa ngazi ya diploma.
Nataka nisome Clinical Medicine.
Na kama itawezekana naomba nijulishwe vyuo vyengine vya serikali vinavyotoa kozi za afya ngazi ya diploma, katika mkoa wa Tanga hususani Clinical medicine.
Bila kusahau ada zake. Naomba msaada huo tafadhali, nina shida!