mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,934
Kwa wale wanaowafahamu vijana wacheza basket, kuna scholarships kwa ajili ya vijana kwenda USA.
Umri uwe kuanzia miaka 12-16.
Awe na kipaji kweli kwakuwa atahitajika kurekodi video ya dakika moja akicheza kikapu na atakuwa judged kutokana na video hiyo.
Kwa wa kiume awe na urefu wa 6'9 na wa kike 5'10.
Akiwa na passport ni advantage na awe mwanafunzi anasoma siyo mtoto wa mtaani.
Unaweza wasiliana kwa maelezo zaidi kwa email mathewnicholaus@gmail.com.
Atakayefanikiwa atalipiwa kila kitu kuanzia visa, air ticket n.k na scholarshi ni full.