Naombeni msaada kuhusu hili tangazo la RITA

raoka kubanda

Member
Jun 13, 2017
45
24
Nataka kuuliza kwamba kwa waombaji wa mikopo tunaoishi vijijin/maeneo yasiyokuw na huduma za kibenki je kuna namna ya kufanya malipo kwa njia ya simu
IMG-20180518-WA0016_1_700x600.jpg
 
Back
Top Bottom