Wadau nina kijana wangu, amefaulu vizuri tu form 6, na anahitaji kusoma kati ya hizo kozi mbili hapo juu, kwa anayefahamu indetail kuhusu hizo kozi. Msaada please ili niweze kumshauri..Maana...
Habari za wakati huu?
Naomba msaada wa mawazo.
Nina ndugu aliyemaliza kidato cha sita, Combination CBG.
Kwa mujibu wa matokeo yaliyotoka hivi juzi, amepata division three (3).
Sasa naomba mwenye...
Pass za kijana wangu ni hizi:
Physics -D
Chemistry D
Biology C
Anatamani sana kusoma Pharmacy, je kuna chuo kitampokea. Bugando is rejecting.
Minimum pass za pharmacy ni zipi? please assist...
Naomba msaada., minimum 6 points ina maana gani,
C=3
D=4
E=5
sasa hapo minimum 6 points zinapatikanaje?
Three principal passes in Physics, Chemistry, and Biology with minimum entry of 6 points...
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tano ambae nimechaguliwa katika shule moja hapa jijini Dar nikiwa nimepangwa tahasusi ya HGK. Ndoto yangu ya kitambo ni kuwa mwanasheria lakini kuna watu...
Muswada ulishapita bungeni je kuna anayefahamu chochote je ishasainiwa? au itaanza lini?
Wenye Diploma waula,sasa kuanza kupata mikopo
11 months ago Wenye Diploma waula,sasa kuanza kupata...
Samahan wadau, nimeambiwa kuwa majina ya wanafunzi waliokosea maombi ya mkopo yametolewa na loan board ila najarbu kutafuta siyapati, kwa anayefahamu zaidi naomba msaada kwa hili.
Sent using...
Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye mada.
Juzi nilipanda na uzi wa kuuliza kuhusu mdogo wangu wa kike aliyepata DIV 3 ya 14 katika mchepuo wa PCB yakuwa ataweza kusoma shahada yake ya awali, jibu...
Wakuu,
Naomba mwenye nakala ya barua inayoonyesha mfumo mzima wa barua ya kuomba kibali cha kuhamia halmashauri nyingine katika mkoa mwingine.
Au layout nzima ya kuomba kuhamia halmashauri...
Habari zenu wanajamvi, mdogo wangu kachaguliwa zanzibar college of health na lugalo(private) coz moja kote sasa haelewi akasome wapi? Ni kipi chuo kizur kati ya hivyo viwili? Kuhusu ada hakuna...
YAH: OMBI LA KUHAMISHIWA JANGWANI HIGH SCHOOL
Mimi ni Sadick francis Masilu, (BAED) ninaomba mamlaka zinazohusika na uhamisho na uteuzi mnipeleke nikafundishe JANGWANI HIGH SCHOOL sababu nina...
wadau naomba kuuliza kwa anaejua .kna dogo aliungq vyeti viwil vya form four akafqnya mtihan wa form six mwaka huu..asa anatka kuapply mkopo na kwnye bahasa hizi mpya kuna sehemu unatkiwa uandike...
Haihitaji kufanya utafiti wowote ili kujua mchango wa wanafunzi wa vyuo vya Muhimbili katika kuharibu maadili ya wanafunzi wa Jangwani Secondary.
Wanafunzi hawa wanatumia kuwepo kwao chuo kikuu...