Niende kwenye mada moja kwa moja wakuu.
Kijana asomee kitu gani katika hivi hapa chini[emoji116]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nb: orodha ya vitu vyote hapo juu ni juu ya Applied physics...
Habarini za masiku mengi ndugu zangu, naombeni aliyefanya kazi kwenye iyo industry ya INFORMATION SYSTEM AUDIT na ambaye amekuwa certified na iyo industry aje PM anisaidie kimawazo/ ki ushauri...
Katika shule nilizopitia nimejifunza kidogo,najua vitu vidogo vidogo kama Capacitors,Diode, Transistor, Rectifier, Transformer etc.
Lakini kama mnavojua ni elimu tu ya kujibia mtihani. Ila...
Kama Ambavyo kichwa Cha habari hapo juu,
Nimehitimu kidato Cha sita mwake huu(2020).
Nilisoma PCB na nimepata DDD Nina two ya 12, Je naweza kupata bachelor ya Medical Laboratory pale MUHIMBILI???
Wakuu naomb msaada wa kujua mtu akisoma course ya international relations and diplomacy anapata faida ganii na ni kazi zipi ambazo anawez pata kwa Tanzania yetu ya sas iwe ni serikalini ama NGO's??
MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ametajwa kuwa miongoni mwa wanafunzi bora watatu ambao ni wahitimu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCO) katika kozi ya Shahada ya...
Husika na kichwa hapo juu.
Ndugu zangu wapendwa naomben ushauri wenu
Kwan mwaka huu nilihitimu kidato cha sita kwa ufaulu wa division two ya 12 nikiwa na D flat kweny combination yangu ya PCB...
Katika pita pita yangu ya kwenye mitandao nimekutana na jina la dada wa baba mdogo na kiasli jina la ukoo wetu sijapata kulisikia sehemu yoyote zaidi ya ukoo wetu hilo sio la kutania namaanisha...
Je kunautofauti gani kati ya bachelor of science with education (chemistry and biology) na bachelor of education in science ( chemistry and biology) katika upande wa job opportunities na upana...
Ningependa kujua kwa mtu aliyemaliza certificate (mfano: Certificate in Information and Communication Technology) chuo kimoja na anataka kua-apply Diploma (NTA 5 and 6) chuo kingine anatakiwa...
Wakabwa poleni na majukumu,
Mimi mdogo wenu nimechaguliwa kozi ya Botanical Science UDSM na mkopo nimepata asilimia zote lakini pia kuna chuo nimepata diploma ya medical labaratory, kulingana na...
The pathway of glycolysis as it is known today took almost 100 years to fully discover .
The combined results of many smaller experiments were required in order to understand the pathway as a...
Wanangu wa Electrical Engineering hasa Electrical installation naombeni jina la hiki kitabu nidownload au hata kama una link unaweza share nashida nacho sana.Ni cha maswali na majibu.
Walimu waliotajwa kuhusika na udanganyifu katika mitihani ya darasa la saba katika jiji la Arusha na Wilaya ya Kiteto, mashauri yao wamepelekwa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru)...
Kuna baadhi ya wanafunzi tulichaguliwa na TAMISEMI Kwenda chuo lakin hatuku verify kutokana na kutokua na uelewa na changamoto nyng za kimaisha, nn kwa namna gani tunaweza fanya kutudisha nafasi...
Wakuu nlikuja na uzi hapa kitambo kuwa nilichaguliwa kusoma clinical medicine nikaomba ushauri nikapewa.
Nimeanza masomo ila kuna vitu vinanichanganya kidogo. Basic anatomy na clinical anatomy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.