Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kwanza hongera sana, mimi nipo kaa ajili ya kukutia moyo tuu, kwa sababu najua umesemwa na kutishwa sana kuhusu mtaa. Ni hivi, watakaoumia sana huku mtaani ni wale ambao walienda chuo kusoma...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
jamani naombeni msaada wenu katika suala nzima la usajili wa shule-sekondari,hatua za awali nimemaliza na ikiwemo kupata barua rasmi ya kuendelea na ujenzi,lakin tatizo ni kwamba ujenzi umeisha...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu naomba Muongozo juu ya hili suala. Je ni sahihi kwa chuo kuchelewesha hela za wanafunzi kwa kigezo cha lazima wasajiliwe chuoni wakiwa wameshalipa hela ya usajili, wakati miongoni mwa hao...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Nilimalz form mwaka jana na matokeo Yang yalikuw hivi wana jf wezangu Physics-D Mathematics-C Chemistry-B Biology-B Civics-B Kisw-B English-C Geography-C History-C Nilikuwa na point 17...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa wakuu, kwa continue student aliyepangiwa mkopo, inasemekana jina lake linapelekwa chuoni kwake, je akiingia kwenye SIPA ataona kama amekuwa allocated mkopo au la?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu heshima mbele, leo kuna kisa mtu kanisimulia nimebaki nashangaa. Alienda katika shule fulani binafsi kuchukua form kwa ajili ya kumuandikisha mtoto wake Nursery School. Cha kushangaza...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nipo hapa najaribu kukata rufaa lakini sijui unabonyeza wapi hebu nisaidieni.
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Lengo la uzi huu ni kupeana elimu juu ya majanga ya moto na uokoaji. Tupia chochote unachofahamu kuhusu njia za kukabiliana na majanga ya moto. Vifaa vinavyotumika na jinsi ya kuvitumia...
3 Reactions
0 Replies
496 Views
Habari wadau.... yupo jamaa yangu mmoja kwa sasa kachanganyikiwa kabisa haelewi kitu kwa sasa anahitaji msaada wa kimawazo maana tunaweza mpoteza anataka kurisiti form six BAM (Basic Applied...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Wadau natanguliza shukrani kwa yeyote aliejitolea kunipa mda wake na uelewa wake kuhusu swali langu apo juu, Wadau naombeni ushauri Pia msaada kwamba kuna mwanafunzi amemaliza la saba mwaka huu...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau kwanza nawasalimu kwa upendo wa mungu nina matumaini wazima wa Afya. Bila shaka Nina matumaini apa nko mahali sahihi ya watu wenye uelewa tofauti tofauti ila nina imani nikikutanisha mawazo...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Tuusome kwa makini ili tupate mikopo inshallah ====== Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa mfumo wa...
0 Reactions
236 Replies
32K Views
Wakuu kuna shida gani nitakutana nazo ikiwa ntachelewa kuripoti chuo yaani nikaenda baada ya hizi wiki mbili walizotoa mimi ni first year chuo ni UDSM. Maana life is not fair mambo yameingiliana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kozi ya Boa ukimaliza, Unaweza ajiriwa serikalini, na sekta binafsi. Piaa unaweza kujiunga na Kozi katika ngazi ya Diploma in Business Administration,Accounts and Finance,Procurement and Supply...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Samahani naomba kwa anaejua namna nzuri na sahihi ya kupangilia cha kuandika nje ya bahasha ya barua ya kuomba kazi Asante.
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Naomba kujua ni vyuo vipi bora vya serikali kwa kusoma diploma ya clinical medicine?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie kunielezea what is meaning of working paper na importance zake ambazo zinasema it support audit conclusion, na it is a future to another auditor maelezo naomba in Swahili Nina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kuzingatia vigezo anuwai vya kuchambua ubora wa elimu, naomba tujadili nchi ipi kwa Africa mashariki ina elimu bora kuliko zote. I have to declare my interest on this, am not allied to any...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za leo ndugu zangu!! Nimemaliza kidato cha nne na kupata alama zifuatazo Biology C Chemistry D Mathematics D Physics F Geography C English B Naomba msaada naweza kusoma kozi gani ya afya?
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Back
Top Bottom