Weka mawazo yako juu ya hili

Juma sele

Member
Nov 12, 2020
54
95
Kuna baadhi ya wanafunzi tulichaguliwa na TAMISEMI Kwenda chuo lakin hatuku verify kutokana na kutokua na uelewa na changamoto nyng za kimaisha, nn kwa namna gani tunaweza fanya kutudisha nafasi zetu kwa huu mwaka
 

Idrisa1510

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
221
500
Kama huku verify huwezi kupata nafasi hiyo. Kikubwa subili mwaka wa masomo mwingine uombe upya
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom