Habarini za masiku mengi ndugu zangu, naombeni aliyefanya kazi kwenye iyo industry ya INFORMATION SYSTEM AUDIT na ambaye amekuwa certified na iyo industry aje PM anisaidie kimawazo/ ki ushauri.
mimi najua tu gamba lake kulipata ni kama milioni 3 au zaidi ...
ila kibongobongo ada inaenda mpaka laki 5 na wanakupa cheti cha kuonyesha umesoma ila sio certified kabisa mpaka upigie zile paper zao...