Mqqqqqm
Member
- Oct 9, 2020
- 6
- 6
Husika na kichwa hapo juu.
Ndugu zangu wapendwa naomben ushauri wenu
Kwan mwaka huu nilihitimu kidato cha sita kwa ufaulu wa division two ya 12 nikiwa na D flat kweny combination yangu ya PCB
Kwa ndoto zangu ninataman kuwa Doctor (MD) lakin kulingana na ufaulu wangu naona itakuwa vigumu kupata chuo cha serikali kama vile Muhas hivyo nahisi nitakuwa na Uwezekano wa kupata vyuo binafsi ambavyo kiuhalisia familia yangu haipo vizur kiuchumi kunipeleka huko
Hivyo nimefikiria ku-resit mtihan mwakan ILI nipate ufaulu mzuri utakao nipelekea kuchukuliwa katika vyuo vya serikali
Baadhi ya watu waliniambia nisome Diploma ya Clinical Medicine lakin huko nako naona gharama zitakuwa kubwa ambazo sitaweza kuzimudu tena isitoshe itanichukua muda mrefu kwa Mimi kuifikia ndoto yangu
naomben ushauri wenu ndugu Jinsi ya kufanya ili kufaulu kama Private Candidate especially kwa comb ya PCB ikiwezekana hata kituo kizur cha kusomea kwa bwen