Dutchman 26
New Member
- Oct 8, 2020
- 3
- 0
Wakuu naomb msaada wa kujua mtu akisoma course ya international relations and diplomacy anapata faida ganii na ni kazi zipi ambazo anawez pata kwa Tanzania yetu ya sas iwe ni serikalini ama NGO's??
Unapat kaz ubalozin tuu vipi kuhusu NGO'sHizo ni ajira za ubalozin