Naomba kufahamishwa kuhusu hili la kufanana huku limekaaje

mkandu

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
335
460
Katika pita pita yangu ya kwenye mitandao nimekutana na jina la dada wa baba mdogo na kiasli jina la ukoo wetu sijapata kulisikia sehemu yoyote zaidi ya ukoo wetu hilo sio la kutania namaanisha haswa ila kilichonishangaza yeye kaishia darasa la saba na ashaolewa kitaambooo ila nakutana na jina linalotofautiana herufi moja tu ila mengine yote yanafanana

RABIA S.
SABIA S.

Kinachoshangaza SABIA ni msomi wa chuo kikuu na kila nikijaribu kufatilia nashindwa kupata uhalisia wa hili kwa kuwa hamna koo nyingine inatumia hili jina

Screenshot_20201123-092030.jpg
Screenshot_20201123-153259.jpg
Screenshot_20201123-151354.jpg
 
Kwaiyo una taka kusemaje
Naomba upitie maelezo yangu kwanza mkuu nimesema hilo jina la ukoo halijawahi patikana popote kwa tafiti tuliyoifanya ila huo mfuatano pia unanipa ukakasi wa uhalisia wake
 
Simaanishi kumtafuta mkuu ila nahisi kutumika jina la watu kimakosa huwezijua ni mtu wa aina gani na ikitokea pametokea yale ya vyeti feki na akakutwa dadaangu panakaaje hapo..?
Inawezekana ni kama unavyosema, ni hayo mambo ya nyeti feki.

Kuna mwalimu wangu aliwahi kunambia kuwa jina lake lilichuliwa miaka hiyo baada ya kuwa amemaliza fm4 akapewa mtu mwingine ( bila ridhaa yake) na alisema hivyo baada ya kuwa ameliona sehemu Fulani kama lilivyokuwa.

Haya mambo yalikuwepo sana zamani.
 
Tunakaa miji tofauti na huyu Dada Rabia na punde nimefafanuliwa kuwa kumbe aliacha shule darasa la sita kwa matatizo yao wanawake ila hapa nahisi kama imetumika hiyo fulsa kwa kuwa hamna muhitimu mwingine mwenye cheti mfano na jina kama hilo alilopora na ikafanywa namna ya kubadili hiyo herufi moja wasiwasi wangu tusije kuchafuliana majina ya watu
 
hapo huwa siyo vyeti feki

kama mmoja alifaulu darasa La saba, mwingine akafeli zamani majina yalikuwa yanauzwa

jina language lilifanana exactly na Mtu mwingine na nikagundua alisoma shule niliyofaulu,
Mimi sikwenda

nilichokifanya nikabadili La nyuma nikaweka kati.
 
Tunakaa miji tofauti na huyu Dada Rabia na punde nimefafanuliwa kuwa kumbe aliacha shule darasa la sita kwa matatizo yao wanawake ila hapa nahisi kama imetumika hiyo fulsa kwa kuwa hamna muhitimu mwingine mwenye cheti mfano na jina kama hilo alilopora na ikafanywa namna ya kubadili hiyo herufi moja wasiwasi wangu tusije kuchafuliana majina ya watu
achana nae.
 
Kutumia jina la mtu pasina makubaliano yoyote ni makosa kisheria mwamba
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom