Msaada: UDAHILI Diploma-nini kinatakiwa?

Msaada: UDAHILI Diploma-nini kinatakiwa?

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
7,602
Reaction score
7,344
Ningependa kujua kwa mtu aliyemaliza certificate (mfano: Certificate in Information and Communication Technology) chuo kimoja na anataka kua-apply Diploma (NTA 5 and 6) chuo kingine anatakiwa ambatanishe dokumenti zipi? Je AVN inahusika pia.
 
AVN ni mahususi kwa Diploma holders kwenda Bachelor... Ninachofahamu mm kama MTU kasoma cheti iwe ya miaka miwili au mmoja na anataka kwenda level 5 & 6 au 6 atatumia transcription ya matokeo aliyoipata kutoka kutoka chuoni ndio ataombea diploma
 
Back
Top Bottom