Nikisoma bachelor ya Mass Communication nitafanya gani?

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
726
Reaction score
483
Wadau mwakan nataka nisome Bachelor ya MASS COMMUNICATION je itanisaidiaje katika soko la ajira ?na nitafanya kaz kama nani naomba mnipe mwanga jamani
 
Utakuwa Mwandishi Wa Habari au Afisa Habari au Afisa Uhusiano Uliye Na Ueledi ULIOTUKUKA Ktk Kazi Yako. Na Kama Hiyo Haitoshi Uzuri Wa Kozi Hiyo Ya Mawasiliano Ya Umma Bado Unaweza Ukafanya Kazi Hata Zile Zisizo Za Uandishi au Mahusiano Na Ukafanya Kazi Hata Ktk Balozi, Taasisi Zinazohusiana Na Jamii, Benki Na Maeneo Mengine Mengi. Ni Kozi Nzuri Sana ISIPOKUWA Changamoto Kubwa Hapa Tanzania Wanaosoma Hiyo Kozi Hujikuta Hata Wakifanya Kazi Ya Mshahara Wa Tsh Laki Tatu Na Hii Inatokana Kwamba Wamiliki Wengi Wa Media Outlets Hapa Nchini Tanzania Hawapendi Kuajiri Intellectuals Kama Nyie Wenye Shahada Zenu Kwakuwa Wanasema Mtataka Mishahara Mikubwa Hivyo Wanawaajiri Wale MAKANJANJA Ambao Hata Wakilipwa Tsh Elfu Tatu Kwa Story Hawalalamiki. Ukibahatika Kupata Kazi Ktk NGO's Ndipo Utaona UTAMU Wa Hiyo Kozi! Yangu Ni Hayo Tu Mkuu Na Nadhani Kidogo Nitakuwa Nimekusaidia Na Nawaachia Na Wengine Wachangie.
 
Usisome hiyo course kwa usalama wa Afya yako maana utazunguka sana hapa Duniani kutafuta ajira ambapo Jua na mvua vitakuwa vyako, alafu baada ya hapo ni ku umwa umwa ovyo kutokana na mchanganyiko wa taabu hizo!
Kama una hela ya kutosha kafungue bishara yako ELIMU SIKU HIZI TANZANIA HAINA FAIDA LABDA KWA WATU WA CHACHE WA SCIENCE.
 
Utakuwa Mwandishi Wa Habari au Afisa Habari au Afisa Uhusiano Uliye Na Ueledi ULIOTUKUKA Ktk Kazi Yako. Na Kama Hiyo Haitoshi Uzuri Wa Kozi Hiyo Ya Mawasiliano Ya Umma Bado Unaweza Ukafanya Kazi Hata Zile Zisizo Za Uandishi au Mahusiano Na Ukafanya Kazi Hata Ktk Balozi, Taasisi Zinazohusiana Na Jamii, Benki Na Maeneo Mengine Mengi. Ni Kozi Nzuri Sana ISIPOKUWA Changamoto Kubwa Hapa Tanzania Wanaosoma Hiyo Kozi Hujikuta Hata Wakifanya Kazi Ya Mshahara Wa Tsh Laki Tatu Na Hii Inatokana Kwamba Wamiliki Wengi Wa Media Outlets Hapa Nchini Tanzania Hawapendi Kuajiri Intellectuals Kama Nyie Wenye Shahada Zenu Kwakuwa Wanasema Mtataka Mishahara Mikubwa Hivyo Wanawaajiri Wale MAKANJANJA Ambao Hata Wakilipwa Tsh Elfu Tatu Kwa Story Hawalalamiki. Ukibahatika Kupata Kazi Ktk NGO's Ndipo Utaona UTAMU Wa Hiyo Kozi! Yangu Ni Hayo Tu Mkuu Na Nadhani Kidogo Nitakuwa Nimekusaidia Na Nawaachia Na Wengine Wachangie.

Mkuu hio avatar
 
Acheni mambo ya ajabu mm hapa natafuta kozi nzuri ya kusoma ndio maana nikaanza na ualimu huku nikidodosa dodosa kozi ipi itanifaa ili nisiingie mkenge mbona mnanipiga mawe nn shida au tunachukuliana simple au vp?JIHESHIMUN BAS UKUTE DUME LA MBEGU halaf linachonga Cock up ....Nanga ,kuchonga waachie watoto wa kike.
 
Mm nina Diploma 2 lengo katika maisha yangu nahtaj kufit sehemu kadhaa za ajira au kujiajiri Diploma hizo ni,
1.Diploma in Media and Film Design
2.Diploma in Journalism
Sasa kwa sasa nahtaj kusoma degree ndio nafanya uchunguz degree ipi itanifaa ambayo itakua na fursa nzuri kujiajir ama kujiajiri
 
Ualimu una fursa
 
Utakuwa Mwandishi Wa Habari au Afisa Habari au Afisa Uhusiano Uliye Na Ueledi ULIOTUKUKA Ktk Kazi Yako. Na Kama Hiyo Haitoshi Uzuri Wa Kozi Hiyo Ya Mawasiliano Ya Umma Bado Unaweza Ukafanya Kazi Hata Zile Zisizo Za Uandishi au Mahusiano Na Ukafanya Kazi Hata Ktk Balozi, Taasisi Zinazohusiana Na Jamii, Benki Na Maeneo Mengine Mengi. Ni Kozi Nzuri Sana ISIPOKUWA Changamoto Kubwa Hapa Tanzania Wanaosoma Hiyo Kozi Hujikuta Hata Wakifanya Kazi Ya Mshahara Wa Tsh Laki Tatu Na Hii Inatokana Kwamba Wamiliki Wengi Wa Media Outlets Hapa Nchini Tanzania Hawapendi Kuajiri Intellectuals Kama Nyie Wenye Shahada Zenu Kwakuwa Wanasema Mtataka Mishahara Mikubwa Hivyo Wanawaajiri Wale MAKANJANJA Ambao Hata Wakilipwa Tsh Elfu Tatu Kwa Story Hawalalamiki. Ukibahatika Kupata Kazi Ktk NGO's Ndipo Utaona UTAMU Wa Hiyo Kozi! Yangu Ni Hayo Tu Mkuu Na Nadhani Kidogo Nitakuwa Nimekusaidia Na Nawaachia Na Wengine Wachangie.
Ahsante kwa ufafanuzi br
 
Back
Top Bottom