Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

waungwana naomben mnitajie tuit za pre form 5 zilizopo dar kwa anaezijua
0 Reactions
19 Replies
11K Views
Wapi nipate vitabu vya saikolojia na falsafa?
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Nataka nijue kama haitasumbua baadae kwa huyo mwanafunzi aliemaliza darasa la saba mwaka huu na anataka kuanza form one hiyo shule ambayo imesajiliwa kama open though wamesema wanapokea wanafunz wote
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mnafundisha watoto kuwa Dunia sasa kama kijiji wakati nyinyi mnaifanya Dunia kuwa kama poli lenye wanyama wakali. Wekeni ada kwenye website zenu hii itaturahisishia wazazi kufanya machaguo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada wenu. Natafuta chuo kimojawapo cha nje ya nchi hasa nikipata cha kutoka ulaya itapendeza zaidi kwa ajili ya kusoma masters ya physical and occupational therapy ya elimu...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu wana Jf, Naombeni mwenye ufahamu kuhusu kozi ya microbiology na kpzi molecular biology and biotechnology anisaidie kunielezea baada ya kuhitimu wanafanya kazi gani hasa...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Tanzania Institute of Education huwa wanatoa vitabu mfano mwaka jana darasa la tatu walipatiwa vitabu lakini ikaja kuonekana publisher hakuweza kuchapa vitabu vingi hivyo shule za binafsi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wana JF. Kutokana na Mambo kuwa mengi huku mda ukiwa mchache nimejiiuta nachelewa kutuma maombi katika chuo chochote cha VETA nchini hususani Kigoma au Chato(ni kipya kinaanza kutumika...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu habarini Nimepoteza cheti cha form four na cha kuzaliwa Nimeshindwa kufanya registration wakuu Naomba mnipe mawazo, nina stress mpaka nahisi kufa. Dirisha la usajili ndio hilo...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwanza niwaombe Moderators kuacha uzi huu hapa kwenye jukwaa la Siasa, japo kwa muda, kwa sababu uzi una Hoja ya Kisiasa ijapokuwa unahusiana na Elimu. Nitangulize shukurani kwenu Moderators...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wapendwa. Naulizia kusoma course za Masters nchini China za business, Je ukirudi hapa Tanzania ajira zake zipoje na kozi zipi hasa hasa za business zina soko? Naomba mwongozo na ushauri...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
MWAMBIE MDOGO WAKO Mkumbushe ndugu au rafiki yako kuwa maisha ya CHUO ni sawa na BONGO MOVIE watu wengi huigiza. Hata yule alie tokea Mbeya vijijini atasema kwao Jijini Mwanza... 1. Mwambie...
12 Reactions
24 Replies
4K Views
Habarini za mihangaiko ndugu wana jamvi. Langu ni swali tu, ningependa kujua kozi (takribani 3) zeye tija na uhitaji mkubwa katika soko la ajira yaani kuajiriwa ama kujiajiri kwa sasa kutoka...
1 Reactions
18 Replies
10K Views
Tafadhali kwanza naomba mods mtusaidie kuunganisha threads zote zinazohusu SUA katika thread moja Pili nyinyi mpo jirani sana na IT wengine kama was SUA,hebu jaribuni kuwauliza na kusaidia vijana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kozi za bure kutoka Open Univesity na unapewa cheti cha kushiriki mafunzo Fungua account ni bure Pendeni kujisomea kwa ajili ya CPD- Carrier Professional Development, hivi vyeti kama unatafuta...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za weekend wapendwa katika bwana. Naomba nianze na historia yangu kiufupi ili uweze kunisaidia ushauri. Nina umli wa takribani miaka 24 kwa sasa. Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
NB je ungependa kutengeneza pesa online wakati ukiwa unaperuzi internet?? ni bure na rahisi mno bofya hapa http://signup.wazzub.info/?lrRef=d56aa5e9 hafu fuata maelekezo mpaka mwisho na...
0 Reactions
1 Replies
10K Views
Habari, wana jukwaaEs. Naamini JF imekuwa nyenzo muhimu kwa kupashana habari na kusaidiana mawazo kwa takribani miaka 14 sasa. Uzi huu napenda uwape nafasi basi wale waliowahi kuomba ushauri ama...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Habari Nina diploma ya ualimu wa masomo ya chemistry na biology nilie ajiriwa na nilipata GPA 4.9 upper first class je Nina weza kusoma masters degree na ni chuo gan hapa Tanzania kinaweza...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Inasikitisha Sana kwamba vijana wetu wanajitahidi kimasomo katika mazingira magumu Sana. Wakati mwingine fedha za mikopo ya kujikimu inachelewa, na hata wengine hawapati kabisa. Licha ya magumu...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom