Nini husababishwa TIE watoe vitabu lakini madukani hakuna?

Nini husababishwa TIE watoe vitabu lakini madukani hakuna?

Atlantis Voyager

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2018
Posts
371
Reaction score
504
Tanzania Institute of Education huwa wanatoa vitabu mfano mwaka jana darasa la tatu walipatiwa vitabu lakini ikaja kuonekana publisher hakuweza kuchapa vitabu vingi hivyo shule za binafsi zikaamriwa kuendelea kutumia vitabu walivyozoea vya Longhorn.

Hivi sasa kuna vitabu vipya vimetolewa vya darasa la saba watakavyotumia kusomea mwaka 2021 lakini hakuna dalili ya publishing ili vienee kwa shule zote. Tatizo hapa ni ukwasi au utendaji?
 
Aisee me ndo nlitaka kuanza kuvitafuta hivyo vitabu, kwahiyo kwa changamoto hizo tunaanzia wapi
 
Mkuu wa kaya le grand John P Magufuli amesema hapendezwi na mambo ya whatsapp wao wamewatumia walimu vitabu whatsapp eti badala ya kuwapatia hard copy na kuhimiza publisher achape vingi ili wanafunzi wote wavipate.
 
Back
Top Bottom