Mliowahi kuomba ushauri hapa JF wa kozi za kusoma mtupe mrejesho

Ngusa PK

New Member
Nov 9, 2013
1
3
Habari, wana jukwaaEs.

Naamini JF imekuwa nyenzo muhimu kwa kupashana habari na kusaidiana mawazo kwa takribani miaka 14 sasa.

Uzi huu napenda uwape nafasi basi wale waliowahi kuomba ushauri ama wao wenyewe au ndugu zao kozi nzuri zenye mkwanja wakutosha.

Ni vyema mkija kushukuru na kututia moyo na sisi tunaohitaji kuendelea na masomo.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom