Nichague ipi kati ya Shahada ya Microbiology au Shahada ya Molecular Biology and technology

Raaj

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
205
29
Habari ndugu zangu wana Jf,

Naombeni mwenye ufahamu kuhusu kozi ya microbiology na kpzi molecular biology and biotechnology anisaidie kunielezea baada ya kuhitimu wanafanya kazi gani hasa? uwezekano wa kupata kazi au kujiajiri kwa hapa Tanzania upoje
 
Habari ndugu zangu wana Jf, naombeni mwenye ufahamu kuhusu kozi ya microbiology na kpzi molecular biology and biotechnology anisaidie kunielezea baada ya kuhitimu wanafanya kazi gani hasa? uwezekano wa kupata kazi au kujiajiri kwa hapa Tanzania upoje
hapo hamna kitu. kile ulicho kilenga hutokipata Bora ungeanza diploma ya clinical medicine tu
 
Sio wote wanandoto ya kufanya kazi kama Health Provider au kuhusika moja kwa moja na mgonjwa!! Huenda hata vigezo vya kusoma hiyo CM hana, kaona huko ndio anafit au ndio mapenzi yake yalipo ndio maana hakuhoji hata Kati ya hizo Programme na CM ipi nzuri!!

Kwangu zote ni Programme nzuri ila jiandae kwa lolote baada ya chuo!!!
 
Hahahahaaaaaaaa, mkuu acha utani yaani hao vijana mimi nawaele
Sio wote wanandoto ya kufanya kazi kama Health Provider au kuhusika moja kwa moja na mgonjwa!! Huenda hata vigezo vya kusoma hiyo CM hana, kaona huko ndio anafit au ndio mapenzi yake yalipo ndio maana hakuhoji hata Kati ya hizo Programme na CM ipi nzuri!!

Kwangu zote ni Programme nzuri ila jiandae kwa lolote baada ya chuo!!!
nawaelewa akili zao wote, sio kwamba huwa wanapenda kujiunga na hizo programme. Ukweli ni kwamba hawa vijana hujiunga na hizo programme mara baada ya kushindwa kuchaguliwa hizo nursing, medicine na pharmacy. Full stop
 
Habari ndugu zangu wana Jf,

Naombeni mwenye ufahamu kuhusu kozi ya microbiology na kpzi molecular biology and biotechnology anisaidie kunielezea baada ya kuhitimu wanafanya kazi gani hasa? uwezekano wa kupata kazi au kujiajiri kwa hapa Tanzania upoje
Microbiology Ina deal na microorganism kwenye maeneo makuu mawili:

Medical microobiology study microorganism of medical importance those which are responsible for causing diseases such Salmonella typhi cause Typhoid,
Haemophilius influenza, Vibrio cholera, to mention few
Here you will study how to isolate, culture these microorganism and identify them in laboratory.

Application/industrial microbiology: it deal with the study of use microorganism to produce different things
Production of alcohol drinks such as beers , clean of environment use microorganism such Biotreatment of water

Biotechnology simply application of biology in production :

Medical Biotechnology: use of biology to treat different diseases such as cancer, genetic therapy,stem cell technology

Industrial bitechonolgy it deal with production of wine, cheese, coffee, cocoa, paper ,bioethanol, biodesel and many other product.

Environmental biotechnology: Biotreatment,use of microorganism to clean environment, biosensor.

Blue biotechnolgy: use of biotechnology in acquatic science. However this field is still in research.

Ipi uchague kati ya Microbiology na biotechnology, zote ni sawa na wanafanya kazi sawa kabisa tofauti ni units wanazosoma.
 
Um
Microbiology Ina deal na microorganism kwenye maeneo makuu mawili:

Medical microobiology study microorganism of medical importance those which are responsible for causing diseases such Salmonella typhi cause Tuberclosis

Kwa kifupi sasa kwa Tanzania hapa wanafanya kazi wapi?
 
Maeneo mengi tu

Nimr( National institute for medical research)

Tari ( Tanzania agriculture research institute)

National Health laboratory

Tanzania veterinary laboratory agency

Government chemist laboratory authority.

Taliri ( Tanzania livestock research institute)

Tawiri( Tanzania wildlife research institute)
 
iyo moleculer application zake kwa hiinchi bado sana .. soma microbiology ni nzur sana
 
Maeneo mengi tu

Nimr( National institute for medical research)

Tari ( Tanzania agriculture research institute)

National Health laboratory

Tanzania veterinary laboratory agency

Government chemist laboratory authority.

Taliri ( Tanzania livestock research institute)

Tawiri( Tanzania wildlife research institute)
Unaona sasa, mambo yalivyo magumu,
 
Microbiology Ina deal na microorganism kwenye maeneo makuu mawili:

Medical microobiology study microorganism of medical importance those which are responsible for causing diseases such Salmonella typhi cause Tuberclosis
Haemophilius influenza, Vibrio cholera, to mention few
Here you will study how to isolate, culture these microorganism and identify them in laboratory.

Application/industrial microbiology: it deal with the study of use microorganism to produce different things
Production of alcohol drinks such as beers , clean of environment use microorganism such Biotreatment of water

Biotechnology simply application of biology in production :

Medical Biotechnology: use of biology to treat different diseases such as cancer, genetic therapy,stem cell technology

Industrial bitechonolgy it deal with production of wine, cheese, coffee, cocoa, paper ,bioethanol, biodesel and many other product.

Environmental biotechnology: Biotreatment,use of microorganism to clean environment, biosensor.

Blue biotechnolgy: use of biotechnology in acquatic science. However this field is still in research.

Ipi uchague kati ya Microbiology na biotechnology, zote ni sawa na wanafanya kazi sawa kabisa tofauti ni units wanazosoma.
Salmonella typhi cause Tuberculosis!?? Mwamba hapa umetupiga FIX!!!
 
Habari ndugu zangu wana Jf,

Naombeni mwenye ufahamu kuhusu kozi ya microbiology na kpzi molecular biology and biotechnology anisaidie kunielezea baada ya kuhitimu wanafanya kazi gani hasa? uwezekano wa kupata kazi au kujiajiri kwa hapa Tanzania upoje
Molecular biology wanafanya kazi kwenye medical lab tu sanasana issue za viral mf mdh nk ambao wanadeal na kupima viral load kutoka kwenye hiv+ specimens, Biotechnology anaweza fanya kazi kwenye viwanda cha kusindika vyakula nk

Hao microbiologists wanafanya kazi kwenye medical lab pia kitengo cha microbiology ...

Naona nzuri zaidi ni bach of molecular biology ndio biotechnology
 
Pamoja na Kozi kua na majina magumu hivi ila bado ajira yake tatizo? Dah napeleka dogo VETA anapata Kozi yake Safi namnunulia vifaa anaingia duniani kutafuta hela.
 
Molecular biology wanafanya kazi kwenye medical lab tu sanasana issue za viral mf mdh nk ambao wanadeal na kupima viral load kutoka kwenye hiv+ specimens, Biotechnology anaweza fanya kazi kwenye viwanda cha kusindika vyakula nk

Hao microbiologists wanafanya kazi kwenye medical lab pia kitengo cha microbiology ...

Naona nzuri zaidi ni bach of molecular biology ndio biotechnology
Molecular biology is wide field it is applicable in all areas of biology: human being, agriculture, animal. The central are of molecular biology is transcribed DNA into RNA and translate it to protein.

It deal with stucture, composition of molecule in living things such as nucleic acid and protein.
 
Molecular biology wanafanya kazi kwenye medical lab tu sanasana issue za viral mf mdh nk ambao wanadeal na kupima viral load kutoka kwenye hiv+ specimens, Biotechnology anaweza fanya kazi kwenye viwanda cha kusindika vyakula nk

Hao microbiologists wanafanya kazi kwenye medical lab pia kitengo cha microbiology ...

Naona nzuri zaidi ni bach of molecular biology ndio biotechnology
Bila kusahau molecular biology unaeza fundisha watu Wa MD biochemistry ref. Dr Thomas Marandu yupo udsm department ya biochemistry college ya afya ila pigs msuli mnene
 
Back
Top Bottom