Torquemada
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 231
- 260
Wakuu habarini
Nimepoteza cheti cha form four na cha kuzaliwa
Nimeshindwa kufanya registration wakuu
Naomba mnipe mawazo, nina stress mpaka nahisi kufa.
Dirisha la usajili ndio hilo linafungwa [emoji24][emoji24]