MODS NA SUA "Sokoine University of Agriculture"

MODS NA SUA "Sokoine University of Agriculture"

kapesly

Senior Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
163
Reaction score
108
Tafadhali kwanza naomba mods mtusaidie kuunganisha threads zote zinazohusu SUA katika thread moja
Pili nyinyi mpo jirani sana na IT wengine kama was SUA,hebu jaribuni kuwauliza na kusaidia vijana wengi kwani hadi sasa huku mitaani bado no tatizo kubwa hasa LA kuapply katika portal yao ya http://suasis.suanet.ac.tz:8389/index.php/registration pia mawasiliano waliyotoa yanasumbua ...
Yaani no services ambao MTU anapata kupitia number za simu walizotoa..naomba tens sana mods mtusaidie japo hata kwanyinyi wenyewe kupost kwenye forum/Instagram/Facebook/kutweet hivi " wanafuzi wengi wasumbuka kuapply SUA" hiyo itakua chachu ya kuwafanya IT wasua waangalie mifumo yao...
 
Last edited:
MODS hamnisomiiii kama hamnisikiiii
 
Hii post ni ya siku nyingi kidogo, nilipenda kujua , vipi kuhusu vyumba vya kupanga vilivyo karibu na chuo, kama nusu au kilomita moja toka chuoni, vinapatikana kwa bei ipi hasa vya bei ndogo, maana uchumi hausomi, pia kwa mazingira ya vipindi pamoja na location za practical inalazimu kuwa na kausafiri Kama baskeli au pikipiki? Aliye na up-date anisaidie, natapatapa kujua haya kwa maandalizi [emoji1374][emoji1374]
 
Back
Top Bottom