Nimekutana na vedeo na audio nyingi alizo zitoa huyu ndugu yetu Mtanzania.
Ambae ameweza kusoma vitabu vingi na kuvichambua Kwa Kiswahili na kuturahisishia Sisi tusio soma na hata tusio jua Lugha...
Mimi ni mfanyakazi wa sekta binafsi, nina shahada ya kwanza ya usimamiz wa rasilimali watu kutoka chuo gwiji ktk mambo ya utawala na usimamizi MZUMBE UNIVERSITY (MU).Naweza kusoma masters ya...
Salamu wakuu
Wataalamu naombeni mwenye kujua shule nzuri na affordable hapa Dar es Salaam au pwani ya wasichana.
NB Mtoto kasoma shule za serikali St. Kayumba
Natanguliza shukrani.
Nimeandika barua ya transfer chuo na nmefata procedure zote za TCU lakin jina langu la waliochaguliwa na chuo husika halipo.
Naomben msaada nini cha kufanya.
Habari jamani,.samahanini ninaomba kwa mwenye notes za physics,chemistry na mathematics anitumie ili nipate kujisomea maana hali ngumu alafu sina hata chanzo cha kupata maarifa ivyo naomba mwenye...
Wana Jf nahitaji msaada wa mawazo yenu kwa wale wazoefu wa hizo courses..
Nimechaguliwa Course ya Insurance and Risk management "IFM",, But Nina wazo la kubadili niende Accountancy.
So kwa...
Je uchumi wa Canada ukoje kwa sasa?
Kazi zikoje kwa professional?
Gharama za kusoma vipi?
Nilikuwa nataka kulinganisha na US maana najua Canada ni expensive zaidi
Nakumbuka siku ya mwanzo nilipofika Tabora Boys sikujua kama ukitaka kwenda chooni lazima nguo uvulie nje kisha uingie chooni
Nikazama na nguo zangu ebwana nilipotoka chooni nguo zote zinanuka...
Wakuu
Hivi kwa Wale walio maliza darasa la saba kuanzia mwaka 2009 kurudi nyuma wanawezaje kuona matokeo yao huku mtandaoni???
Kama kuna link basi naomba iwekwe ili tuangalie
Wengine hata...
Dodoma. Jumla ya wanafunzi 759,706 sawa asilimia 91.1 kati ya wanafunzi 759,737 waliokuwa na sifa za kujiunga na kidato cha kwanza, wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2021...
Habari wadau wa elimu,
kuna chuo cha kilimo na technologia butiama kilianza mwaka 2014. Chuo kipo butiama na kina walimu na majengo yote muhimu kwa program za bachelor au diploma kuanza lkn...
Nimemaliza form four 2010 nimesoma shule ya kata pia nina diploma yenye gpa ya 4.7 nimeomba mkopo kozi niliyochaguliwa degree ni business administration nimeambatanisha na vyeti vya vifo vya...
Nina bachelor ya Mining Engineering nataka kujiunga na masomo ya CPA ili nijibanze kwenye kuhesabu pesa za madini, nipeni utaratibu, gharama zake ni sh ngapi na mtihani ni mwezi wa ngapi.
Leo ndiyo tarehe 5 ,kama sijakosea. TCU calender ilionesha kuwa watafungua dirisha lá uhamisho kwa wanafunzi wa mwaka wa Kwanza,
jé wamefungua tayari?
Taratibu zipoje zá kufuata ili mwanafunzi...
Kutangaza shule inayoshika nafasi ya kwanza, yapili nk.
Faida
I. inaongeza ushindani kwa wamiliki wa shule
II. inaongoza wazazi kujua shule ipi nzuri.
Hasara
I. inasababisha wizi wa mitihani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.