Natafuta chuo cha nje kusoma masters ya physical and occupational therapy in special needs education

kilama

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
2,734
1,963
Wadau naombeni msaada wenu.
Natafuta chuo kimojawapo cha nje ya nchi hasa nikipata cha kutoka ulaya itapendeza zaidi kwa ajili ya kusoma masters ya physical and occupational therapy ya elimu maalum (Physical and Occupational Therapy in Special Needs Education)
 
Ingia Google utapa vyuo kibao!
 
Wadau naombeni msaada wenu.
Natafuta chuo kimojawapo cha nje ya nchi hasa nikipata cha kutoka ulaya itapendeza zaidi kwa ajili ya kusoma masters ya physical and occupational therapy ya elimu maalum (Physical and Occupational Therapy in Special Needs Education)
Mtafute jamaa mmoja huwa namuona kwenye stations za TV asubuhi akijinasibu kwamba anawasaidia watanzania kupata vyuo nje tena kwa bei rahisi. Leo alikuwa ITV nikamsikia anasema kuna masters ambazo unasoma na kulipwa. Ulizia ITV
 
asante mkuu ila ntampataje hujo jamaa...????
 
Ingia facebook mserch dismass lyassa atakuunganisha vizuri kabisa
chukua namba yake ya simu ni mwandishi wa mwananchi na anakampuni yake ya mambo hayo
Usisahau kunipa mrejesho...
 
asante mkuu, ntatoa mrejesho....!!!!
 
MKUU Tafuta Chuo kinaitwa Gadaulet State university kama sijakosea kipo USA.... Ni kwa ajili ya hayo mambo...
 
jaman mi ni mwanafunz wa hiyo kozi ya occupational therapy kwa ngazi ya diploma mwaka wa kwanza,naulizia mshahara wake ni kiasi gani na je kwenye soko la ajira ipoje,kama haipo vizur naomben ushauri niiache au niendelee nayo🙏
 
jaman mi ni mwanafunz wa hiyo kozi ya occupational therapy kwa ngazi ya diploma mwaka wa kwanza,naulizia mshahara wake ni kiasi gani na je kwenye soko la ajira ipoje,kama haipo vizur naomben ushauri niiache au niendelee nayo
 
, wewe Soma tu utakachokuja kulipwa ukubali tu au ulale mbele upige issue zingine
 
Back
Top Bottom