IAE/ OPEN SCHOOL anaweza soma hata mwanafunzi wa kawaida aliyemaliza darasa la saba?

Jorge WIP

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
3,567
5,288
Nataka nijue kama haitasumbua baadae kwa huyo mwanafunzi aliemaliza darasa la saba mwaka huu na anataka kuanza form one hiyo shule ambayo imesajiliwa kama open though wamesema wanapokea wanafunz wote
 
Nataka nijue kama haitasumbua baadae kwa huyo mwanafunzi aliemaliza darasa la saba mwaka huu na anataka kuanza form one hiyo shule ambayo imesajiliwa kama open though wamesema wanapokea wanafunz wote
Open schools zote zipo kwa ajili ya kila mmoja. Hata ambaye hakuenda shule darasa la kwanza.
 
Hii Open school ni shule ya namna gani in operation & Management?

Recruiting inaangalia vigezo gani?
 
Back
Top Bottom