Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ni kozi ipi ni nzuri: Clinical medicine (clinical officer at graduation) au Diploma in Nursing. Wengine wanasema Clinical medicine ni vigumu kwenda Doctor of medicine (MD), while for Nursing ni...
1 Reactions
15 Replies
13K Views
Wakuu mm ni graduate wa chuo flani hapa tz. Kama ilivyo ada pale mtu anapohitimu level flani huwa anafanya sherehe kwa ajili ya kujipongeza kwa kumaliza hatua hiyo mujarabu kabisa. Mimi katika...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Natanguliza salam zangu kwenu:ombi langu kubwa nikuwa mm nimuhitimu Wa certificate of account nahitaji kubadili niweze kusoma diploma ya nesi je nifanyeje kuweza kukamilisha hilo maana vigezo...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Habari ya muda huu ndugu mkereketwa wa JF, Nikiwa mmoja wa wanachuo tunaojiandaa kwenda kufanya mafunzo ya vitendo (field or practical training) mwaka huu mnamo Julai, nimependezwa mno kurudi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ELIMU BURE IONDOLEWE, WATU WAANZE KULIPA ADA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Hakunaga kitu cha bure kikawa na thamani, sijawahi kuona popote pale tangu nimezaliwa; hivyo ndivyo naweza anza makala...
11 Reactions
78 Replies
8K Views
Wakuu kwema..!! Nina Kijana wangu anatarajia kwenda Form V mwaka huu sasa anataka kusoma mchepuo wa CBN yaani Chemistry, Biology na Nutrition. Mwenye ufahamu wa shule ya private inayotoa mchepuo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Huwa najaribu kutafakari, kuongezeka kwa wahitimu hasa wa elimu ya juu ambao hawana ajira (kuajiriwa/kujiari). Kunatoa picha gani kwenye ubora wa elimu yetu kwenye kupunguza kiwango cha...
0 Reactions
0 Replies
609 Views
Watu mliowahi kufanya mtihani mgumu wa uhasibu wa utumishi wa umma (GOVERNMENT STANDARD ACCOUNTANCY EXAMINATION). Je, hii ni mitihani gani? Ukimaliza na kufaulu unapata/unatunukiwa nini? Kuna...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Huwa nakaa nafikiri hivi hii shule tunayosoma na tunaosomesha hivi ina umuhimu saaana? Sipo kuharibu fikra ya mtu ila ngoja niseme yangu na ku-comment chochote ruksa ila sio povu ok. Kiupande...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Waziri wa tamisemi: Seleman jafo ametoa nafasi ya kubadilika tahsusi. Amesema dirisha hilo litafunguliwa leo mpaka tarehe 11-4-2021 amesema wataruhusiwa kubadili machaguo ya chuo au advance na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, Wadau naomba mnisaidie shule za private kidato cha tano ya bweni, zinazopokea reseaters (wanaorudia mtihani kidato cha nne) iwe wilaya yoyote ya Njombe. Ambayo wako vizuri iwe ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana jukwaa habari zenu, kwanza kabisa ningependa kuwapa pole ndugu jamaa na marafiki walioguswa kwa namna moja ama nyingine katika janga hili lililoikumba dunia kwa sasa ugonjwa wa covid-19, pia...
3 Reactions
75 Replies
9K Views
Naomba ushauri toka kwenu wataalamu wa taaluma na ufundishaji kutokana na tabia niliyoisikia ktk shule hii. Nina mtoto ninayemsomesha ktk shule hii ya Bendel memorial iliyoko moshi eneo la soweto...
5 Reactions
165 Replies
26K Views
Zamani enzi za ujinga tulikuwa tukiaminishwa ukiwa kipanga then ukisoma PGM (GEOGRAPHY, PHYSICS & MATHEMATICS) ndio ticket pekee ya kuwa rubani. Vyuo vingi au karibu vyuo vyote vya urubani...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakulungwa habari, nahitaji kujifunza kupiga gitaa na kinanda naomba kufahamu shule iliyopo maeneo ya mwenge au ubungo!! Natanguliza shukrani
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Soma kwa umakini DOCUMENT hii. Kama utakuwa makini na kuna biashara ambazo unazifanya basi inaweza kuwa mwanzo wa kuepuka kuendelea kupoteza fedha zako kujifunza vitu ambavyo havina msaada kwenye...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Napata changamoto ya kuomba kuhitimu baada ya kuwa na carryover mwaka wa mwisho
1 Reactions
12 Replies
1K Views
A workshop on 'Leadership Skills among Youth' was organised recently by Uslub services group for students of Amar Singh College in Jammu and Kashmir's Srinagar. Education ANI| Srinagar (Jammu And...
1 Reactions
1 Replies
483 Views
Kwa kweli watu wa Mzumbe wamenitamanisha sana.... hebu na sie wa Mkwawa tukumbukie enzi......ukisikia hiki kipande cha Singo hili unakumbuka nini Mkwawa Shule twaipenda, Mkwawa Shule twaipenda...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Back
Top Bottom