Mkwawa high school: Singo hii inakukumbusha nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkwawa high school: Singo hii inakukumbusha nini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by NewDawnTz, May 19, 2011.

 1. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli watu wa Mzumbe wamenitamanisha sana....

  hebu na sie wa Mkwawa tukumbukie enzi......ukisikia hiki kipande cha Singo hili unakumbuka nini

  Hahaaaa, kwa wale wa enzi za Mzee Mbao Sebastian K.K. akiwa Master, namuona povu linamtoka mdomoni kwa lijamaa limevunja meza DH au Mzee Tende kashtaki katorokwa kwenye Cube namba 9 ya Shebby Rob West.........hahaaaaa
   
 2. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wale wa mwaka 1976- 1977 nimemkumbuka saa Mzee Staki (RIP), Singano, Mbwanji, Chamshama, Sawaya, Ndosi, Mamuya, Tukai (alikuwa mbabe sana) Hao ni baadhi ya Wallimu. Bila kumsahau Samwel Wangwe (headprefect). Mwakasege (now Mwalimu wa Injili), Davis Baitani, Danhi Makanga.
   
 3. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Duh, Mkuu hii ndio ile class ya Kakobe nini? Maana naona in ahadi Mwakasege japo nasikia Kakobe alikuwa mzee wa Rumba mbaya....Hili darasa lilikamilika

   
 4. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  mnhhhh...nyie nao mlisomaga zamani sanaaa...yani sie tunazaliwa nyie ndio mpo shule ile?... sie tulosoma enzi za MKWAWA HIGH SCHOOL COMPLEX N CASSNO... tulikuta hata underground ways zishafungwa tukaishia kusimama bomba tatu na kula maandazi ya makanyagio na kukimbizana na kina Nguwi (R.I.P) Mwangoka, mwaipaja na mkubwa wao MGOHAMWENDE (R.I.P) akitupiga mkwara wa kubadilisha miwani kisha anasema "this is sobibo camp" only few may survive and none escapes"... hapo ujue kuna watu wanakula suspension na "masharobaro" shule ndio hawana tena..... mkwawaaaaaaaa... du nimepamiss pale mahala... EASTSIDERSSS... MAKONGORO EAST CUBE NO 72.... OLD GUD LOVELY DAYS
   
 5. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Mkuu usiseme maandazi, sema mabanzi......hahaaaaaa

  Huyo mwanaume hapo kwenye red sikukaa nae sana, kiukweli huwa namkumbuka sana.....jembe hil
  o

  Yaani mimi nikisikia tu hili neno cube natamani kuparudia pale mahala....dah,
   
 6. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ngazi kumi na tano, seti benjamini, viwanja vya gofu nk hayo ni baadhi ya maeneo nayo yakumbuka. Nimependa kumbukumbu za Stafford Kibona enzi zao wakiwa mkwawa
   
 7. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Mkuu ilikuwa ukisikia unaitwa ngazi kumi na tano daah, unaomba mbingu ikusogelee karibu..........wa enzi za hapa karibuni unajua kuna mtu anaitwa Mgimwa (japo kafupi lakini matata matupu) na msaidizi wake bi Kiroboto yule maadam wa kichaga yule, hatari tupu ndani ya ngazi kumi na tano
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Yule mama Masawe alikuwa nuksi kweli, kulikuwa na walimu Ngimba na Masatu wa Sheb east na west, mabanzi ya makanyagio kwa Chuwa au kwa Nelkon. Kombolela kila jumatatu. Dah! Napatamani sana Mkwawa!!
   
 9. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgohamwende alimng'oa Irene Kiwia. Class of 2000 Ridhwani Kikwete, Dyellu Kalufya, Hassan Mwameta mpambe wa Riz1 hadi leo, MC Medy mwarabu wa tabora, Dorice Exaud, Sada Kassimu, Lusajo Elly, sara sichalwe (odemba), kabusure (RIP), Peter Chawe (mbabe wa DH), Lilian mziray, Taki Mdeng'o. Hao walikuwa mastaa wetu.
   
 10. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahahaaa mama masawe tulimtungia wimbo "magembe wananiwinda wanile nyama bwana fanya hima uje uniokoea" alikuwa ni noumar yule mama,na kila wiki Lumumba West wamwisho kwa usafi then wanajipigia makofi na vigelegele. Kuna kina Puffy Dady , Salehe Kijangwa
   
 11. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  I was there wakati huu. Ilikuwa ni hatari lakini Irene ile zali inasemekana aliitengeneza mwenyewe. I wish tungeonana sura hapa na kucheka kidogo. Nilikutana na Mgimwa Dar na akanikumbuka tena kwa jina yaelekea alikuwa anajua wanafunzi wake wengi. Sikujua kama mzee Mgohamwende alifariki. Yule mzee alikuwa mbabe maana anafuatwa na walimu na viongozi kuleta assembly. Alikuwa ana mapozi ya ajabu katika kuzungumza. Sikujua pia Nguwi naye ni RIP. Thread hii imenijuza mengi saana. All in all ni shule ambayo wengine walinufaika na wengine waliharibikia pale.
   
 12. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Hivi vichwa sitavisahau katika maisha yangu
  complex.jpg
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  May 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Lumumba west walikuwa wanajiita wazee wa pamba lakini kwa usafi kila wiki wa mwisho. Tende na kipaza sauti chake a.k.a Kitende.....!!
   
 14. m

  mbweta JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kaka tupe hiyo ya irene kiwia wengine hatukuwah isikia
   
 15. M

  Mkwele JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Riz1 Kikwete naye alisoma mkwawa High School? Nijuzeni wanjamvi maana mi nilisoma 1996 mpaka 1998.
   
 16. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #16
  May 20, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Umenikumbusha mbali sana mkuu,mke wangu nimempata toka Magembe west
  sina hakika kama mzee wa kingereza kigumu mgoha mwende kafariki kwani mala ya mwisho alikuwa dodoma sec

  tutafutane mkuu kwani ya kale haya nuki
   
 17. n

  neyro JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 232
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  woooh wht amazing nakumbuka pachas SHEBY-GEMBES , LUMUMBA-AGGREY , KONGORO EAST KWA WEST daaaah ikoso memorable momeeeent!
   
 18. n

  neyro JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 232
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  mmmh huku akae Massawe kule atege Makwaya Mgimwa kona nyingine Tende cubin kuna fanta Magoli bado Mbao hujakutana nae mjini. pia tumkumbuke toz M
  WA MAKANYAGIO HOYEEEEEEEEEE!!!!! kwa Nelly
   
 19. n

  neyro JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 232
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  teh teh teheeeeeeeeeee ucmsahau mama mwidete. ila fanta magoli alikua pooooooa only totoz tu
   
 20. n

  neyro JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 232
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  mkubwa ulikua sheby nn na ndo nyie Tende alikua anawatafuta nn! maana sheby kwa Gembes walikua vipofu. LOL!
   
Loading...