Je, wajua kuwa hata form four wa Division 4 anaweza kuwa rubani?

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,701
36,119
Zamani enzi za ujinga tulikuwa tukiaminishwa ukiwa kipanga then ukisoma PGM (GEOGRAPHY, PHYSICS & MATHEMATICS) ndio ticket pekee ya kuwa rubani.

Vyuo vingi au karibu vyuo vyote vya urubani hawatoi degree ya urubani. Urubani huweza kusomewa na mtu yeyote ilimradi tu awe na akili timamu, idea kidogo ya mathematics na kuweza kumudu gharama za malipo ya ada na field.

Na level ya urubani hupanda kulingana na flights ulizofanya na short courses ulizofanya. Kama huna hela mwanao hata akiwa kipanga vipi kwa zama hizi mwambie kabisa asiote ndoto ya kuwa rubani wa ndege za kibiashara. Labda asubiri ndege za kivita au za jeshi.
 
Mshaanza Sasa na huyu mtoto wa mnyonge aliekua anatetewa na Hayati vipi
 
Rubani si dreva kama walivyo madreva wa hiace,bajaji,garimoshi,meli,baiskeli n.k...kinachokushangaza nini hapo
Zamani enzi za ujinga tulikuwa tukiaminishwa ukiwa kipanga then ukisoma PGM (GEOGRAPHY, PHYSICS & MATHEMATICS) ndio ticket pekee ya kuwa rubani.

Vyuo vingi au karibu vyuo vyote vya urubani hawatoi degree ya urubani. Urubani huweza kusomewa na mtu yeyote ilimradi tu awe na akili timamu, idea kidogo ya mathematics na kuweza kumudu gharama za malipo ya ada na field.

Na level ya urubani hupanda kulingana na flights ulizofanya na short courses ulizofanya. Kama huna hela mwanao hata akiwa kipanga vipi kwa zama hizi mwambie kabisa asiote ndoto ya kuwa rubani wa ndege za kibiashara. Labda asubiri ndege za kivita au za jeshi.
 
Zamani enzi za ujinga tulikuwa tukiaminishwa ukiwa kipanga then ukisoma PGM (GEOGRAPHY, PHYSICS & MATHEMATICS) ndio ticket pekee ya kuwa rubani.

Vyuo vingi au karibu vyuo vyote vya urubani hawatoi degree ya urubani. Urubani huweza kusomewa na mtu yeyote ilimradi tu awe na akili timamu, idea kidogo ya mathematics na kuweza kumudu gharama za malipo ya ada na field.

Na level ya urubani hupanda kulingana na flights ulizofanya na short courses ulizofanya. Kama huna hela mwanao hata akiwa kipanga vipi kwa zama hizi mwambie kabisa asiote ndoto ya kuwa rubani wa ndege za kibiashara. Labda asubiri ndege za kivita au za jeshi.
Rubani sio kitu, shuhuli ipo kwenye kuwa aeronaucal engineer... hapo ndio shughuli ipo!
 
Back
Top Bottom