Msaada: Kozi ipi nzuri kati ya clinical medicine na nursing?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,220
Reaction score
102,333
Ni kozi ipi ni nzuri: Clinical medicine (clinical officer at graduation) au Diploma in Nursing. Wengine wanasema Clinical medicine ni vigumu kwenda Doctor of medicine (MD), while for Nursing ni rahisi kusoma degree in Nursing.

And on top of that wajuzi wanasema Nursing is more practical in making earning compared to Clinical medicine.

Nishaurini niende wapi, have room to change in both directions
 
UNAZUNGUMZA KINYUME CHAKE

1. zamani ilikuwa ni kawada mtu aliyesoma diploma ya nursing kusoma medicine doctor for five years sasa hivi hakuna kitu kama hicho aliyekwambia kakudanganya

2. Kwenda kusoma medicine lazima uwe na GPA 3.5 ya diploma in clinical medicine na kuipata hii GPA lazima ukaze sana msuli,

conclusion

Diploma in nursing huwezi kusoma MD kwa sasa ilikuwa zamani,Diploma in clinical medicine unaweza kusoma Medicine ikiwa umepata gpa ya 3.5 and above
 
Hapana hukunielewa. Nasema Dip in nursing kwenda degree in nursing ni rahisi, lkn CM kwenda MD ni ngumu kama ulivyosema kupata 3.5 gpa siyo rahisi. All in all, nimekuelewa sante sana.
 
Nursing unapiga kazi sana na ni wito hasa, kama unaweza nenda.. but CO uwe na shule tu unaprescribe then nurse anakuja kutekeleza, but fuata wito wako ila kwamimi na kizazi changu nursing NO
 
me naona nursing bt fuata your mind isifuate Jf advice fanya unachopenda
 
Nursing unapiga kazi sana na ni wito hasa, kama unaweza nenda.. but CO uwe na shule tu unaprescribe then nurse anakuja kutekeleza, but fuata wito wako ila kwamimi na kizazi changu nursing NO
Huwezi kusema kizazi chako NO. Utawashauri tu maamuzi ya mwisho ni yao, dunia inabadilika kwa kasi kubwa sana. Wako unatakiwa kuwa ushawishi na ushauri tu mkuu.
 
Ni kozi ipi ni nzuri: Clinical medicine (clinical officer at graduation) au Diploma in Nursing. Wengine wanasema Clinical medicine ni vigumu kwenda Doctor of medicine (MD), while for Nursing ni rahisi kusoma degree in Nursing.

And on top of that wajuzi wanasema Nursing is more practical in making earning compared to Clinical medicine.

Nishaurini niende wapi, have room to change in both directions
Acha utani wewe kasome Co
 
Nursing unapiga kazi sana na ni wito hasa, kama unaweza nenda.. but CO uwe na shule tu unaprescribe then nurse anakuja kutekeleza, but fuata wito wako ila kwamimi na kizazi changu nursing NO
Co ina ccd sana kuliko No
 
Huwezi kusema kizazi chako NO. Utawashauri tu maamuzi ya mwisho ni yao, dunia inabadilika kwa kasi kubwa sana. Wako unatakiwa kuwa ushawishi na ushauri tu mkuu.
Mwambie aisee afu asiwapotezee watu wito wao kuna watu wana wito wa nursing
 
Back
Top Bottom