Msaada wa shule ya Private yenye mchepuo wa CBN

Mtanzanyika

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
370
424
Wakuu kwema..!! Nina Kijana wangu anatarajia kwenda Form V mwaka huu sasa anataka kusoma mchepuo wa CBN yaani Chemistry, Biology na Nutrition. Mwenye ufahamu wa shule ya private inayotoa mchepuo huo anisaidie... ikiwa ya boarding itakuwa vyema zaidi
 
Jamani mnapochagua kombi muwe mnaangalia kombi za kusoma na future yake!! Sasa huyo anataka kusoma CBN alafu aje asomee nini badae?

Mbaya zaidi atakwambia anataka kusome udaktari daaah elimu ya kibongo hii!!
 
St Benedict high school zaman majengo high school iko Moshi palee
 
Jamani mnapochagua kombi muwe mnaangalia kombi za kusoma na future yake!! Sasa huyo anataka kusoma CBN alafu aje asomee nini badae?

Mbaya zaidi atakwambia anataka kusome udaktari daaah elimu ya kibongo hii!!
Unakariri maisha,unachowaza Ww sio anachowaza mwenzako,ndio maana kuna tajiri,muajiriwa na masikini kapuku.

Kama anataka kufungua biashara ya food products,au ana mchongo wa ajira kwa kampuni kama Bakhresa unataka asome nini zaidi ya food science au nutrition.
 
Achana na watu waliokariri combination Kaka... wakisikia kitu ambacho hajawahi kukisikia bhasi anajua hakina maana
 
Back
Top Bottom