Tamisemi yatoa nafasi ya kubadilika tahsusi(Combinations)

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Waziri wa tamisemi: Seleman jafo ametoa nafasi ya kubadilika tahsusi.

Amesema dirisha hilo litafunguliwa leo mpaka tarehe 11-4-2021 amesema wataruhusiwa kubadili machaguo ya chuo au advance na pia kubadili combinations kulingana na matokeo yako.
 
Waziri wa elimu Yuko wapi? Jaffo. Mambo ya kufanya kazi kwa kiki yalishapitwa muda wake.
Hizi sio zama za praise team. Hiyo kwinhyo Rais wetu mpendwa, mtenda haki hataki hizo swagger.
Acha waziri mwenye dhamana atangaze.
Siku sio nyingi utageuka kuwa msemaji wa wizara ya Wanawake, kule Kuna Gwajima, lazima akutie mingumi
 
Noma kweli.
Dhama zimebadilika
 
Back
Top Bottom