starj4
Senior Member
- Jul 2, 2016
- 143
- 21
Natanguliza salam zangu kwenumbi langu kubwa nikuwa mm nimuhitimu Wa certificate of account nahitaji kubadili niweze kusoma diploma ya nesi je nifanyeje kuweza kukamilisha hilo maana vigezo ninavyo vya masomo ya sayansi:asante nasubiria wenye uelewa juu ya hilo