Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomba nieleweshwe namna mifuko ya elimu za wilaya au mikoa zinavyo fanya kazi na kama mtu binafsi anaweza kuanzisha mfuko kama huo kwa jamii ndogo zaidi na uendeshaji wake unakuaje. Natanguliza...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
"By faith Moses, when he became of age, refused to be called the son of Pharaoh's daughter, choosing rather to suffer affliction with the people of God than to enjoy the passing pleasures of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Namna Gani Dunia Inaendeshwa Kitaalamu? Mnamo Ogasti ya 2, 1990 majeshi ya Saddam Hussayn yalikwaruzana na vikosi vya ulinzi vya Kuwaiti iliyo tajiri kwa mafuta kwa khofu ya Iraqi kuivamia...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wadau, Ningependa kujua kuhusu TOEFL (Test Of English as a Foreign Language). Wapi ninapoweza kujisajili kufanya mtihani huo na huwa unafanyika mara ngapi kwa mwaka. Thanks
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wadau mamboz! Najua kuna watu wengi ambao wamewahi kusoma shule ya msingi Bunge ambao ni wadau wa JamiiForums na hivyo wataweza kusoma wazo langu. Jamani nilikuwa nafikiria tufanye kitu kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Money is something which every individual desires and can not have enough of. Everyone wants a constant flow of money in life and to feel secure. The secret here is that not all people know how to...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Since JF is the 'Home of great thinkers', kuna swali linanisumbua na ningeomba wenye maelezo wanisaidie. Hypothetically: Kama shimo refu na lililonyooka likichimbwa kuanzia upande mmoja ya ardhi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Inakuwaje Universities za South Africa tu ndiyo zinakuwa top katika Africa? Hata hivyo UDSM nao wapo wapo sana....! Source: Ranking of African Universities on the web - Best Universities in...
0 Reactions
54 Replies
10K Views
Kwa wale wa Kagera na wapenda maendeleo kwa ujumla, changieni mada hii kwenye: Kagera.org :: View topic - How to make the turn around in education? Je kuna discussions kama hizi kuhusu mikoa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
RAIS wa Jamuhuri ya Uturuki, Abdulah Gul, amesema nchi yake itajenga chuo kikuu nchini kuendeleza uhusiano kati yake na Tanzania. Akizungumza wakati wa kutia saini mkataba wa ushirikiano kati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hi all, Im currently a student outside Tanzania doing Business in IT and so far i like what im doing. However i always have these questions in mind, do we have IT projects? are there any...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Published Date: 27 January 2009 A NEW Julius Nyerere Scholarship at Edinburgh University will commemorate the life of Tanzania's first president. In 1949 Julius Nyerere came to Edinburgh...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Darwinism and Racism The complete title of Darwin's most famous work, often abbreviated to The Origin of Species, was The Origin. of Species by Means of Natural Selection or the Preservation of...
0 Reactions
59 Replies
7K Views
Wana JF, Nataka kuongeza typing speed wakati ninachapa kazi zangu katika computer. Natafuta software ambayo naweza kuitumia kama tutor ili kunipima muda ninaotumia kuchapa maneno kadhaa (mfano...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
200th anniversary of Charles Darwin. Check the Link. Darwin Day Celebration
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jamani mimi nataka kujiunga na chuo cha kampala international university kwa kozi ya Master in Business Administration kwani hicho chuo kimefungua tawi lake pale dar-es-salaam, je chuo hiki...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Mzumbe dons in PhD scam Eight senior lecturers with the Mzumbe University have doctorate degrees that are either fake or acquired from institutions that lack internationally accepted...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Yanaonyesha kuwa kiwango cha ufaulu kimeshuka kwa asilimia 10.13. Wanafunzi wengi wamefanya vizuri kwenye Kiswahili (aslimia 81.59) na wengi wamefeli basic mathematics (waliofaulu somo hili ni...
0 Reactions
80 Replies
81K Views
  • Closed
Yapate hapa: https://www.jamiiforums.com/matokeo2008.htm
0 Reactions
1 Replies
35K Views
hawa vijana wanoogoma kila siku pale mlimani wana matatizo gani.mbonaimekuwa kama kero.wadau fanyeni utafiti yakinifu kugundua matatizo yao
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…