Swali: Hypothetical hole in the earth... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali: Hypothetical hole in the earth...

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Katoma, Feb 24, 2009.

 1. Katoma

  Katoma Senior Member

  #1
  Feb 24, 2009
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Since JF is the 'Home of great thinkers', kuna swali linanisumbua na ningeomba wenye maelezo wanisaidie.

  Hypothetically: Kama shimo refu na lililonyooka likichimbwa kuanzia upande mmoja ya ardhi ya Dunia na kutokeza katika upande wa pili, je ukianguka katika hilo shimo utatokea upande huo wa pili wa Dunia?

  i.e. Assuming that the hot interior core was absent! This is a hypothetical question.
   
  Last edited: Feb 24, 2009
 2. Bavuvi

  Bavuvi Member

  #2
  Feb 24, 2009
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jiografia ya form 2 inanikumbusha kuwa katikati kuna moto wa joto kali kupindukia, hivyo utaungua na kuteketea kabla hujatokeza upande wa pili
   
 3. m

  mtatifikolo Member

  #3
  Feb 25, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Theoretically, yes. Ila, we have to ignore friction, the rotation of the earth and other complications. If we treat the mass distribution in the earth as uniform, a person could fall into the tunnel and then return to the surface on the other side in a manner much like the motion of a pendulum.

  Assume that the person's journey began with an initial speed of zero kilometers an hour. His speed would increase and reach a maximum at the center of the earth, then decrease until he reached the surface-at which point the speed would again fall to zero.

  Kwahiyo, one will oscillate repeatedly through the tunnel. I think ;-)
   
 4. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie naona itakuwa hivi;

  1. Assume there will be no melting rocks underground;
  2. Assume the path dug is smooth & straight

  Because the earth has centre of gravity decreasing and canceling toward the cetre; and since pull & pull we experience in free falls is the result o G; theh we expect once you are droped down there at the centre of the earth (down in the hole) G will cancell to 0; there utakuwa stationery standing in air freely underground.

  Mwenye zaidi atujuze
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Feb 25, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Mtafitikolo na Malunde, nadhani wako karibu sana na ukweli. Hata hivyo ili kuweza kupata jibu sahihi au linalokaribiana nalo ni vizuri kuassume mambo kadhaa au kuweka variations za aina fulani kwani tabia ya kitu katika mazingira fulani fulani hubadilika endapo vitu fulani navyo hubadilika.

  Tukiassume kuwa hakuna moto katikati, hakuna uwezekano wa mikwaruzo au kugongana na kitu kingine basi hili litakuwa:

  a. Nguvu ya Mvuto ya Dunia (Gravitational Force) ikiwepo.
  Kama nguvu ya mvuto inabakia constant kwamba inavivuta vitu vyote towards the center basi

  - mtu akitumbukia kwenye shimo hilo atafika hadi katikati ya dunia na kutoka hapo hawezi kwenda kokote kwani hakuna nguvu inayomvuta kwenda upande wowote (ata balance!)

  - kama nguvu ya dunia haipo kabisa na katikati ni hollow tu, mtu huyo hawezi kutumbukia kabisa! kwa sababu hakuna nguvu ya kumfanya aanguke, basically atakuwa kama ilivyo kwenye space ataelea tu juu ya shimo hilo!

  those are the only two possibilities naziona.
   
Loading...