Kagera: How to make the turn around in education? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kagera: How to make the turn around in education?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Katoma, Feb 19, 2009.

 1. Katoma

  Katoma Senior Member

  #1
  Feb 19, 2009
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  sasa tukianza hivi...mara Kagera, Mara Visiwani, mara Songea...je tutafika?

  halafu itabidi tuanze na Wilaya...mara Kilindi, mara Bkb, mara Mbinga

  Halafu zones...kusini...Ziwa...nk

  then.. makabila..wachagga, Waha, Wazaramo!

  Then dini...wakristo, waislam!!!

  Then madhehebu...RC, Anglikana, Wasuni, Washia, Sabato ...n.k

  Namna hii tutafika?
   
 3. Katoma

  Katoma Senior Member

  #3
  Feb 19, 2009
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Badala ya kuchapa walimu viboko, the way forward is through discussions like above. Ninaamini ya kwamba kila pande ya nchi ikikabiliwa na 'challenges' ktk jamii yao, the way forward ni kutafuta local solutions. We should not expect directives from beaurocrats in Dar to decide for us development policies that are not working in our rural settings.
  Watu walipiga sana kelele humu kuhusu underperformance of Pemba and Unguja schools in the NECTA Form IV. I should expect them to create forums like above so as to create dialogue for their own local solutions. Hii haimaanishi Ukabila. Kwani Kagera wanaishi pia wachagga, Wazaramo, Wasukuma nk Hata mimi ni mwenyeji wa Bukoba na wanangu wanasoma hapo Shule ya Msingi, ila kabila langu ni Mnyakyusa...
  People should have a dialogue and stop meaningless sentiments....
   
 4. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2009
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  Nadhani kujadili namna ya kuinua Elimu mahali sii ukabila. Tuna vyama vya kuhamasisha maendeleo vya sehemu mbali mbali. Watu wa sehemu mbalimbali wanakutana Dar wanachangia maendeleo, bila shida za ukabila.

  Kuna wakati nilijaribu kuanzisha majadiliano kuhusu kuimarisha Elimu Wilaya ya Bagamoyo. Haikuwa ukabila. Mimi ni Mchaga, lakini ni mwenyeji wa Bagamoyo. Ni kama aliyetangualia alivo Mnyakyusa wa Bukoba. Yaani sasa kuna Wachaga ambao ni Wazaramo, Wazaramo ambao ni Wachaga, Wanyakyusa ambao ni Wahaya, etc.

  The only thing that is constant is change.
   
 5. Kipala

  Kipala JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 3,537
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hongereeni ninyi Watanzania. Sidhani ya kwamba Wakenya siku kizi wangeweza kusema hivyo juu ya elimu kwao kama ni Machame, Kisumu au Machakos.

  Nakubali kabisa ya kwamba ni vema kama majadiliano ya maana yanawezekana kimahali. Ningeshangaa lakini kufurahia kama uwezekano huu upo kwa eneo la Kagera lakini kujaribu si kosa,
   
Loading...