Article 5: How To Have A Constant Flow Of Money

Sanctus Mtsimbe

JF-Expert Member
Jul 14, 2008
1,820
982
Money is something which every individual desires and can not have enough of. Everyone wants a constant flow of money in life and to feel secure. The secret here is that not all people know how to manage their money right and how to make wise investments to make money come to flow. You should devise a way by which if you do not wish to work, you would still have a constant abundant flow of money towards you.

Plan it out
Most people do not bother to plan out their daily expense and income and end up spending more than they earn. Learn to make a regular plan on your daily expenditure and income, what needs to be saved and what needs to be invested. We must now build a culture based on these facts.

You are not old yet
Most people think that they are simply too old to save and it would not work in the end. Remember that you are never too old to start, the best way to get a constant flow of cash is to do wise investments and get recurring returns on your investments.

Think think think
This is the most lethargic job for most people as they are too lazy to get their mind going. You already have many abundant resources around you which would help you generate more income and cash. You just need to realize how you can use these resources to help you generate more income. Be innovate and spontaneous in your thinking and don't let confusion stop you from trying such ideas out.

Don't put all eggs in one basket
Like the great saying goes- "Never put all your eggs in one basket". Remember to find more sources of income and find more baskets. It's always good not to be totally dependent on one source of income which does not guarantee future security. If one of your money sources is gone you still have other sources providing you with the desired wealth. Remember it's always about growth and not survival.

Watch out for the next Article - Article Number 6.
 
Think think think
This is the most lethargic job for most people as they are too lazy to get their mind going. You already have many abundant resources around you which would help you generate more income and cash. You just need to realize how you can use these resources to help you generate more income. Be innovate and spontaneous in your thinking and don't let confusion stop you from trying such ideas out.

Kwa kuweka msisitizo tu ni kuwa, kufikiria katika mtazamo chanya (Positive Thinking) na katika Picha Kubwa (Big Picture) ni vitu muhimu sana na endelevu katika suala zima la kujiletea maendeleo.

Karibu watu wote wenye mafanikio makubwa nchini mwetu na duniani (Si Mafisadi), wamefanikiwa kwa kuwa na Mitazamo Chanya. Ni kupitia Mentoring, Coaching, Training, Campaigns ya wazalendo halisi hatimaye tunaweza kuleta mabadiliko katika maisha yetu binafsi na nchi kwa ujumla.

Tufikiri, tufikiri, tufikiri . . . . Kama ambavyo Mtu anaamua kufuata maadili ya dini yake akitegemea maisha mazuri baada ya haya ya sasa, vivyo hivyo inataka imani kuamini kuwa tunao uwezo wa kubadili maisha yetu ya sasa kwa kufuata misingi ya kupata mafanikio katika kujiletea maendeleo.
 
One more thing . . . We have a starting point, for Mentoring, Coaching, Training etc, you can Network with other people who are working towards achieving better life standards and development of our nation . . . You may wish to attend some regular TPN Seminars.
 
A constant flow of money may constitute the undesirable, namely outflow of money, when outflow exceeds inflow bankruptcy results.

So I would be more interested in a constant inflow and retention of money than a mere flow of money.
 
You are right Pundit. Flow of money could mean Inflow or Outflow. For the purpose of this Article the Flow can be interpreted as Inflow. Thanks.
 
Money is something which every individual desires and can not have enough of. Everyone wants a constant flow of money in life and to feel secure. The secret here is that not all people know how to manage their money right and how to make wise investments to make money come to flow. You should devise a way by which if you do not wish to work, you would still have a constant abundant flow of money towards you.

Very Interesting,

...Mkuu, how can I 'LEGALLY' have abundant flow of money without work? hebu nipatie mifano miwili mitatu tafadhali, maana hata matajiri wakubwa tu nao wanakwenda kazini. Kuuliza njia ndio kujua njia, na kuuliza si ujinga.

Think think think
This is the most lethargic job for most people as they are too lazy to get their mind going. You already have many abundant resources around you which would help you generate more income and cash. You just need to realize how you can use these resources to help you generate more income. Be innovate and spontaneous in your thinking and don't let confusion stop you from trying such ideas out.

...Mkuu, kwakuwa nimezaliwa na working class Parents, ambao maishani mwangu nime experience baba na mama wanafanya kazi mpaka retiring age, inanipelekea mimi kukubaliana nawe hiyo para hapo juu, hebu nipe mifano miwili mitatu hizo 'abundant resources around', ambazo naweza kuzitumia mfano; jijini Dar es salaam kujiwezesha ukitilia maanani SWOT analysis (kwa ujumla wetu)..
 
Mkuu, kuna kiwango cha utajiri ambacho ukifika, then kazi unaifanya kwa hiari kama interest na wala si kwa kulazimishwa. Mfano. Bw. Reginald Mengi kama unafahamu huenda ofisini kwa nadra sana pale tu anapokuwa na vitu vya msingi lakini si kwa ulazima. Makampuni yake mengi sasa hivi yanaendeshwa na watendaji ambao ndiyo wanaowajibika kwa lazima kila siku.

Kama umepata kusoma vitabu vya Rich Dad, Poor Dad by Robert Kiyosanki, utagundua kuwa na yeye alistaafu kazi mapema sana katika shughuli zake binafsi. Utajiri wake unamruhusu kuendelea kuishi bila kufanya kazi. Hata hivyo amekuwa na interest binafsi ya kutumia uzoefu wake alioupata kuweza ku-inspire wengine wapate mafanikio.

Unapokuwa na utajiri wa kuweza kukupatia kipato katika maisha yako yaliyobaki, si lazima ufanye kazi (If you do not wish to work) kama nilivyoandika. Lakini kwa hulka yetu wanadamu si lazima iwe hivyo, kujishughulisha ni sehemu ya maisha hata kama wewe ni tajiri. Huyu jamaa Kiyosanki, alipostaafu akiwa ana miaka nadhani 45 au 47 alianza kwenda likizo na kustarehe sehemu mbalimbali hadi mwishowe akaona ni bora apate kitu cha kumshughulisha.

Kuhusu Think Think Think na abundant resources, hili lina mifano mingi. Kuna Taxi Driver namfahamu ambaye 1998 alikuwa anaendesha gari ya tajiri yake Carina, lakini alijitahidi kujenga marafiki wa kweli ambao walikuwa ni abiria anaowabeba ili kujenga biashara ya uhakika, na kila siku aliingia benki kuweka 50% ya mapato yake halali aliyoyapata kwa siku hiyo au iliyopita. Aliendelea kufanya hivyo hadi akanunua gari ya tajiri yake kwa kulipa nusu na kisha kumalizia miezi kadhaa baadaye. Aliendelea na mfumo wake wa kazi na kwa kuwa sasa ilikuwa ni gari yake hakubweteka bali aliongeza kiasi cha pesa alichokuwa anaweka benki.

Baada ya hapo aliuza ile gari na kununua nyingine, na liendelea na kazi huku karibu kila mwaka akiagiza gari mwenyewe kutoka nje ya nchi na kuzifanya private taxis. Sasa hivi anazo gari nne na 4WD ya kutembelea, kajenga nyumba ya kisasa na anaendesha maisha yake. Huyu aliweza kutambua resources zilizo karibu yake na kuzitumia vizuri.

Vivyo hivyo kuna vijana wanne Engineers ambao walianza shughuli zao kijiweni na wakapanda taratibu toka mwaka 1995 huku wakitumia resources kidogo walizonazo, leo hii ni vijana ambao wana mapato na biashara yenye heshima huku wakiwa Wakandarasi daraja la kwanza. Kuna mifano mingine mingi tu.

Angalia interest zako ni zipi, ujuzi wako ni upi, opportunities zilizopo karibu yako ni zipi na jaribu kufikiria ni namna gani utakuwa king'ang'anizi wa kujiletea mafanikio.
 
Mkuu hizi nondo nzuri..ndo tunaziona mara ya kwanza!

Taabu yangu ndugu..ni saving! Naweza kupata faida USD 1000 say katika shughuli zangu..nikazitumia zote tena kwa fujo!

Nimpe jirani aniwekee!

Ha Ha Ha!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom