Je kampala intenational university inatambulika na tcu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kampala intenational university inatambulika na tcu?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MmasaiHalisi, Feb 10, 2009.

 1. MmasaiHalisi

  MmasaiHalisi Senior Member

  #1
  Feb 10, 2009
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani mimi nataka kujiunga na chuo cha kampala international university kwa kozi ya Master in Business Administration kwani hicho chuo kimefungua tawi lake pale dar-es-salaam, je chuo hiki kinatambulika na mamlaka husika(TCU) nisije poteza pesa zangu bure,ni muda mrefu tumesikia ni feki,je kuna ukweli wowote

  wajameni nipeni data za chuo hiki
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Feb 10, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Kwanini usiende tcu kuulizia kwanza ??
   
 3. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kama kweli una mpango wa kujiunga na chuo hicho na unahofu ya uwezekano wa kujiunga na chuo FEKI, tafadhali waone TCU ambao naamini wana data zooote za vyuo vikuu Tanzania ikiwemo vile feki
   
 4. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  - Please visit TCU website for more info

  - TCU Website
   
Loading...