Udsm.nini tatizo

stiba7

Member
Jun 26, 2008
5
0
hawa vijana wanoogoma kila siku pale mlimani wana matatizo gani.mbonaimekuwa kama kero.wadau fanyeni utafiti yakinifu kugundua matatizo yao
 
msijifanye hamjui!!!?? hawa vijana sio mazoba, huwezi kuwarudisha kwa mafungu afu mnawasachi usiku eti kwa kuwa wamebebana vyumbani,mnawatoa bara kuwaleta huku, walale na nyani? eti accomodation sio priority ya chuo??? kuna moto unafukuta...
 
1. Sasa kwani ni jukumu ya serikali kuwapatia elimu au malazi? Kwani Watz wengine wanalala wapi?i

2. Huko bara waliletwa na serikali?

Nadhani kuna haja wanafunzi wa elimu ya juu kubadili mind set kuwa serikali ni 'big dady' who will pay everything!

Tutazoea taratibu but it may take time!
 
Last edited:
mzalendo,hujaelewa dhana ya malazi hapa..serikali inatoa pesa za hawa watoto kwa ajili ya kulipia huduma za malazi,lakini hazitoshi kimsingi!! flat rate wanayolipia katika hostels zao, haiendani na malipo wanayolipia wanapokosa vyumba na kupanga mitaa ya karibu..umeelewa mkuu?
 
Mkipewa milioni 2 mnashinda hillpark na udasa kukamua bia kwa nguvu zote, mkishaishiwa mnakimbilia kuandaa migomo isiyouwa na tija.. growup dude's maisha yanasoma umri haurudi nyuma ooh, nyie gomeni gomeni mchelewe kumaliza shule mkute nafasi za kazi wamezihodhi wajanja wa mzumbe na udom....
 
mzalendo,hujaelewa dhana ya malazi hapa..serikali inatoa pesa za hawa watoto kwa ajili ya kulipia huduma za malazi,lakini hazitoshi kimsingi!! flat rate wanayolipia katika hostels zao, haiendani na malipo wanayolipia wanapokosa vyumba na kupanga mitaa ya karibu..umeelewa mkuu?

Mdau, ninavyo jua mimi kwauzoefu wangu wa chuo, sikuzote boom huwa halitoshi hata liongezwe vipi. Nachojua mimi hali ya boom kwa wanafunzi sasa ni nzuri ukilinganisha na miaka ya kuanzia 2005/06 na kurudi nyuma. Pili ifahamike kuwa accomodation ya mtaani siku zote ni cheap kulinganisha na ile ya chuo kwa upande wa kifedha. Lakini kwa upande wahuduma accomodation za chuo ni very very cheap kuliko za mtaani kwani unatumia umeme utakavyo, maji utakavyo, na ikitokea hitirafu mnagoma mambo yanawekwa sawa.

Pamoja kuwa kunamatatizo vyuoni nimuhimu kutizama kwa umakini sana, sometimes wanafunzi hugoma kwa sababu za kipuuzi sana huwezi amini. Wanafunzi wanaweza kugoma kwasababu ya kufeli mitihani, sasa utajiuliza walitaka wapewe marks za bure ili wote wafauru?. Hivyo ni vema kujua kiini chake then tutachangia mawazo. Hivyo ndivyo njuavyo mimi.
 
mkuu mambo ya mgomo ndo yalivyo,ila kinachoniuma zaidi ni kwamba wanafunzi wenyewe hawajui wanachogomea na kwa uhalisi hela ya kusoma wanayo uko majumbani

mana baada ya mgomo wengi huwa wanalipa hela kama mvua km kweli wasomi wangejua wanachodai wote wasingelipa na tokea hapo ninge au tungewaelewa

vijana ulia km nikusoma someni kwa mfano mwaka 2007 tuligomea medical mkandala kakomaa wakulipa wakalipa,mwaka huu wamegoma na mpaka sasa zaidi ya asilimiua tisini wameishalipa na wengine bado wanalipa.

hela watakuwa nayo ila wanajitahidi tu kuongeza muda wakusoma tu...

msomi lazima asimamie hoja anayojua kabisa niya kweli na sio kupwaya pwaya huo ni usomi wakishenzi na km tutazidi kuwa na watu wa aina hii msitakabali waelimu uko pabaya

mtu kama msomi akisema haki ya kikatiba lazima ajue anaongelea kitu gani na sio kubwata bwata tu............
 
Back
Top Bottom