KUANZISHA MFUKO WA ELIMU-inawezekanaje?

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Naomba nieleweshwe namna mifuko ya elimu za wilaya au mikoa zinavyo fanya kazi na kama mtu binafsi anaweza kuanzisha mfuko kama huo kwa jamii ndogo zaidi na uendeshaji wake unakuaje.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa kwa wana JF kwa mchango wenu wa mawazo.
Ahsanteni sana
 
Mkuu inawezekana nadhani ni mipango tu basi ndio kitu cha muhimu na kufahamu nini unataka kufanya!!
 
Nashukuru kwa michango yenu ila bado sijaelewa kama ina wezekana kwa jamii ndogo kuanzia ngazi ya familia.
Malengo ni kuweza kusaidia wanao hitaji kuweza kupata elimu bora kwa kusaidiana katika jamii husika
 
Hii kama ni kuanzisha mfuko wowote ule unataratibu zake. Ni suala la kwenda makao makuu ya wilaya utapata details mkuu
 
Back
Top Bottom