Giving Back to Bunge PrimarySchool | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Giving Back to Bunge PrimarySchool

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mpogoro, Mar 6, 2009.

 1. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wadau mamboz!

  Najua kuna watu wengi ambao wamewahi kusoma shule ya msingi Bunge ambao ni wadau wa JamiiForums na hivyo wataweza kusoma wazo langu.

  Jamani nilikuwa nafikiria tufanye kitu kwa ajili ya shule yetu ya zamani yaani Bunge Primary School.

  Wadau mnasemaje?Suggestions...tufanye nini?
   
Loading...