Chuo cha global college, dsm tanzania bado hakijasajiliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo cha global college, dsm tanzania bado hakijasajiliwa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Somoleo, Sep 22, 2010.

 1. S

  Somoleo Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HABARI WANAJAMII WOTE

  NASHUKURU KUJIUNGA NA WANAJAMII WENZANGU ILI KULETA HOJA, ELIMU NA MABADILIKO KATIKA JAMII PALE PANAPOWEZEKANA.
  NIKIWA MMOJA KATI YA WATU WANAOPENDA MAENDELEO KIELIMU, NIMEKUJA FAHAMU KWAMBA CHUO CHA GLOBAL COLLEGE, DSM TANZANIA BADO HAKIJASAJILIWA (i.e. NACTE) WALA KUTAMBULIWA NA TAASISI YA VYUO TANZANIA.

  HALI HII INAFANYA WAHITIMU WA CHUO HICHO (i.e. CERTIFICATES AU DIPLOMA GRADUATES) KUTOSAJILIWA KATIKA VYUO VINGINE (i.e. IFM, CBE, UDSM n.k.) NA PIA KUONEKANA NI WADUNI KIELIMU PALE WANAPOOMBA KAZI BAADHI YA MAENEO.
  HOJA YANGU NI KWAMBA:
  1) INAKUWAJE CHUO WANARUHUSIWA KUJITANGAZA SANA WAKATI HAKINA USAJILI.
  2) IDARA NA TAASISI ZA SERIKALI ZIPO NA ZINASHINDWA KUFUNGA VYUO KAMA HIVI? E KUNA WAHESHIMIWA WANA HISA ZAO HUKO?

  3) WATANZANIA WANALIPA ADA HAPO ILI KUSOMA LAKINI WANASHINDWA KUJIUNGA NA VYUO VINGINE WANAPOHITAJI, HUU SI WIZI!!!


  Somoleo
   
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu kwa taarifa hii!
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Poleni sana Ndugu Somoleo kwa kusoma chuo cha mtaani,hakuna wa kumlaumu bali wewe mwenyewe na wazazi / walezi wako ambao walipaswa kufanya utafiti kabla ya kujiunga.Serekali kwa upande mwingine hawawezi kukwepa lawama kwa uzembe wa hali ya juu inakuwaje vyuo vya mitaani vinaachiwa kufanya kazi wakati vipo vyombo vyenye wajibu wa kuzuia uhuni wa aina hii.
   
Loading...