Udom na siasa za nchi hii- wewe unajua nini katika hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udom na siasa za nchi hii- wewe unajua nini katika hili?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by miradibubu, Sep 21, 2010.

 1. m

  miradibubu JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 313
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ninasikitika kuona namna ambavyo Chuo kikuu cHA DODOMA kinavyotumika katika siasa za nchi hii hasa katika kukifagilia chama tawala- twawala.
  Licha ya majigambo haya yote kwa taarifa tu wale waliojifanya kuchanga hela ya fomu ya Kikwete ni watoto wachache ya vigogo( sio wa kuzaa bali wa dada zao na binamu) ndio waliojiadai kuasisi huu mpango.
  Baada ya kuona pesa haitoshi walichota pesa wanakojua wakapata hiyo milioni moja ya fomu.
  Ninayasema haya kutokana na uhalisi wa mambo katika chuo hicho kwani kwa njaa waliyo nayo wanafunzi wa hapo isingelikuwa rahisi kwa wanafunzi hao kumpa kikwete pesa zote hizo, hiki ni chuo amabacho wanafunzi wake wanamateso makubwa kuliko kwingine- hawapati mkopo kwa wakati, wanaongozwa kuwekwa ndani kwa kesi za kubambikizia, wananyimwa pesa ya field na kuamabiwa kwamba bodi ya mikopo haijatoa.

  lakini wakifuatilia bodi wanapata taarifa kwamba hizo pesa zimetoka. HIcho ni chuo pekee cha uma amabacho hakuna mfanmyakazi wake aliyewahi kulipwa pesa ya kujikimu.
  Ninaishia hapa ninaomba mnijuze zaidi kuhusu chuo hicho
   
 2. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,501
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Duh! Baada ya uchaguzi si ndiyo kitafunga kabisa! Tuweni macho tukiendeleze chuo chetu kiende mbele
   
Loading...