Jamani kuna nini vyou vya ualimu hasa diploma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani kuna nini vyou vya ualimu hasa diploma?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kvelia, Aug 27, 2010.

 1. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapa nazungumzia vyuo vya ualimu ktk ngazi ya Diploma.
  Naaminimtu yeyote aliyemaliza form six kumtreat kama mtoto wa form
  one ni sawa na kumdhalilisha. Kuna baadhi ya vyuo sijui kama ni
  vyote hapa nchini vinafanya mambo ya ajabu eti ni kumfundisha
  mwalimu maadili. Mwalimu mtarajiwa anaamka asubuhi na mapema
  ananyeshea bustani yake kisha anaenda kufanya usafi ktk eneo lake,
  baadae kengele inagongwa kisha wanakaguliwa usafi hadi kucha!!!!!!,
  kama ndio hivyi basi na waalimu wa vyuo vikuu wafanyiwe hivihivi ili
  kuwapa maadili zaidi. Hili mnalionaje wadau...
  :focus:


  Honesty is the first chapter in the book of wisdom
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Motivation ya kusoma zaidi ili kwenda ngazi za juu itatoka wapi iwapo katika ngazi zote wanafunzi/wanachuo wanatendewa sawa?
   
 3. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yaani kwenda ngazi za juu ndio kwa njia ya kutreat wanachuo kama form one?
  Kwa taarifa yako, kuna shule nyingine za high school hazina huo utaratibu wa kitoto.
  Honesty is the first chapter in the book of wisdom
   
 4. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hao hawafundishwi kuwa walimu wa Form 1 - hawahitaji utaratibu huo.
   
 5. Jungumawe

  Jungumawe JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2010
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 246
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35


  mie naona sawa kabisa wanafundishwa njinsi ya kufundisha wasikwepe wajibu wao ,hata askari hufundishwa namna ya kufanya kazi kwa vitendo
   
Loading...