Wameshatoa majibu. Bofya hapa http://www.tcu.go.tz/info/news/view_news.php?id=15http://www.tcu.go.tz/info/news/view_news.php?id=15Hawa jamaa hawafai katika dunia ya leo mda unamata sana kama ulimwambia mtu tarehe 18 mwez flan kuna watu watapoteza mda wao pesa zao kutafuta selection au na hili nalo limekaa ki siasa